Wanawake Jambo gani mnafanya kwenye mapenzi ili tu kumridhisha mwanaume wako ila husikii raha yoyote?

Wanawake Jambo gani mnafanya kwenye mapenzi ili tu kumridhisha mwanaume wako ila husikii raha yoyote?

Mmekuwa na lawama nyingi mara hatuwezi kazi, mara haujafika kileleni.

Mara nyingi hampo open na hili sio tatizo lenu ni malezi ya jamii. Hapa hamjulikani tuambiane kipi mnafanya tu kwenye sex ila hakina effects zozote kwenu.

Wanaume tupo open saana linapokuja suala la mapenzi. Share mambo mnayolazimishwa kufanya kwenye mapenzi lakini hayaleti hisia yoyote kwenu.
Kaka masai, madeni ya songesha yanaumiza sana kichwa
 
Daby acha mawazo finyu, sisi tunataka no reforms no election ijadiliwe. Mambo ya ngoni ni wewe na mke wako chumbani kwenu. usije kutupotezea muda hapa!!!🥸
Hili jukwaa la mahusiano mkuu.

Zed nadhani unahitaji kuburudishwa na mkeo manii ikizidi kwenye korodani si nzuri...ndiyo unaanza kupotea majukwaa kama hivi.
 
Back
Top Bottom