Wanawake jifunzeni kumove on

Wanawake jifunzeni kumove on

Ukiwa na mume unatakiwa ukitongozwa unasema nimeolewa kwa kumaanisha kiasi kwamba mtu harudii tena.
Sio unajifanya hutaki huku mtu anaona kabisa hapa nikikaza nakula mzigo🤣
Shida huwa iko hapo, wanawake wengi hawajui kusema Am Mrs David.
 
Leo hii ukipata mwanaume anayekupenda na akataka kukuoa utakataa kisa huyo dada aliyeng'olewa meno na jicho?

Ajali za magari mbona zinatokea kila siku na watu wanakufa lakini kila siku watu wako showroom kununua magari?

➡️➡️➡️ Usitumie sample ndogo kufanyia majumuisho ya jumla!
Sawa msukuma, nawaza tu jmn km tahadhari 😅
 
Back
Top Bottom