Shida huwa iko hapo, wanawake wengi hawajui kusema Am Mrs David.Ukiwa na mume unatakiwa ukitongozwa unasema nimeolewa kwa kumaanisha kiasi kwamba mtu harudii tena.
Sio unajifanya hutaki huku mtu anaona kabisa hapa nikikaza nakula mzigo🤣
🥰🥰🥰🥰🥰🙏Wanawake acheni kuuza furaha zenu
😁😁😁Sina usemi.
Sahihi 👊98%Eti dada ninaongea ukweli au uongo.
Yeah.Shida huwa iko hapo, wanawake wengi hawajui kusema Am Mrs David.
No,nimegundua tunapishanishwa tuTafuteni wanaume waelewa, shida ni kwamba wanaume waelewa tukiwapenda mnaona sisi washamba sijui hatuna jipya.
Sawa msukuma, nawaza tu jmn km tahadhari 😅Leo hii ukipata mwanaume anayekupenda na akataka kukuoa utakataa kisa huyo dada aliyeng'olewa meno na jicho?
Ajali za magari mbona zinatokea kila siku na watu wanakufa lakini kila siku watu wako showroom kununua magari?
➡️➡️➡️ Usitumie sample ndogo kufanyia majumuisho ya jumla!
🤣🤣Jmn duhUmalayaa.
Ukiamua kuingia kwenye ndoa ACHA UMALAYA.
#YNWA
KATAA NDOA wewee..!!Sawa msukuma, nawaza tu jmn km tahadhari 😅
Eti bhana 🤒Dada kwani huyo kaka anakojoa dhahabu,