Wake wa mikoani ni wazuri kitabia ila ni chagamoto katika mapishi kwenye mwezi kama hu wa Ramadhani.
Workmates wangu wamefunguka jana kwamba wake zao hawajui kuanda futari ya kufuturu mwezi hu mtukufu, alie anzisha mjadala alisema ana acha hela ya kutosha nyumbani ila mke wake hajui kuanda futari, na ajiongezi,
Siku ya kwanza alimpikia ugali na nyama jana kapika ugali maharage na samaki, bila uji au chakula laini chochote wakati anajua kwamba ana funga, hataki kujiongeza, wake wengine ni mzigo.
Wake wa kutoka mikoani ni wazuri ila katika mapishi ni chagamoto kubwa, ata siku zingine sio katika mwezi hu tu, mgine mwenye mke wa kutoka Iringa anasema alisha mwambia mkewe ila habadiliki sasa hivi ana futuria kwenye magenge ya wa swahili kuna futari nzuri kwa bei ya sh 2000 tu.
Wanawake wa pwani wana mapungufu yao katika ndoa lakini katika hili kila moja anajitahidi kuvitia mme.