Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo wa mkos asiyejua kupika labda wa Moshi,Dar,Mbeya Iringa naKilimanjaro
Mkuu mwezi huu mtukufu haulengi katika ratiba ya kula tu, kina mambo mengi hufanyika katika ibaada, hata kama unafinga ila unashindwa kuyatekeleza inakua hujafanya lolote.Bila kukashifu imani ya mtu wafungaji wengi ni kama vile wanabadili tu ratiba ya kura tu basi.
Kuna jamaa yangu mimi miaka yote anafunga na hakuna siku anaamka saa kumi alfajili kwa ajili ya kula hichi kinachoitwa daku.
Yeye akishafuturu jioni, usiku by saa 4 au saa 5 anakula mpunga wake akiingia kulala shughuri imekwisha mpaka kesho muda wa kufuturu.
Wewe hayaja kukuta omba Mungu usipata kituko cha mwana mke asie jua kuanda chakula, usiwaone tu wamependeza ila hao wamikoani wengi ni mtihani mkubwa sana.Hizi story za uongo dunia ya leo nani asiyefahamu mahitaji muhimu katika futari. Kwamba hajui kua tambi, chai , maandazi , mihogo hutumika kwenye kuandaa futari.
Mmmh futari+7+9/hapanaIli swaumu isikukamate sana piga daku mara 2.
Mimi nakula saa 7 usiku alafu na saa 9 usiku naamka nakula tena.
Mchana ukifika natamba tu
Ni kweli,utakuta mtu anaanza kupika tokea saa 5 hadi saa 12 jioni yupo jikoniFocus iwepo kwenye ibada na maana ya huu Mwezi Mtukufu.
Na hii ni kwa wanawake na wanaume. Kuna wanaume Mwezi huu wanawatumikisha sana wake zao. Kutwa wanawapikilisha vyakula tofauti tofauti hawapumziki wala kupata wasaa wa kufanya ibada zao.
Focus haipo kwenye menu Mkuu.
Mmmh futari+7+9/hapana
Hapo sawaKwa wewe mtoto wa kike sawa kusema hapana.
Ila jua hyo ni ratiba ya mtoto wa kiume mwenye kilo 80+.
Alafu ana fanya kazi za kijungu jiko.
Siko ofisini Mimi.
AiseeeeIli swaumu isikukamate sana piga daku mara 2.
Mimi nakula saa 7 usiku alafu na saa 9 usiku naamka nakula tena.
Mchana ukifika natamba tu
Kwani wewe wataka mkeo afanye kazi gani zaid na hiyo ya kupikia mmewe, ungejua kwamba wanawake wa kiislamu wana furahia na kujisikia kifahari kwa kupikia mmewe vyakula mbali mbali vipya.Ni kweli,utakuta mtu anaanza kupika tokea saa 5 hadi saa 12 jioni yupo jikoni
Hata kitabu cha Mtaguso kinaelezea kufunga ni masaa 18 ya siku bila chakula. Katika masaa 24 unaruhusiwa kula ndani ya masaa sita.Bila kukashifu imani ya mtu wafungaji wengi ni kama vile wanabadili tu ratiba ya kura tu basi.
Kuna jamaa yangu mimi miaka yote anafunga na hakuna siku anaamka saa kumi alfajili kwa ajili ya kula hichi kinachoitwa daku.
Yeye akishafuturu jioni, usiku by saa 4 au saa 5 anakula mpunga wake akiingia kulala shughuri imekwisha mpaka kesho muda wa kufuturu.
Yaani nawe khaaa!Kwani wewe wataka mkeo afanye kazi gani zaid na hiyo ya kupikia mmewe, ungejua kwamba wanawake wa kiislamu wana furahia na kujisikia kifahari kwa kupikia mmewe vyakula mbali mbali vipya.
Wewe hayaja kukuta omba Mungu usipata kituko cha mwana mke asie jua kuanda chakula, usiwaone tu wamependeza ila hao wamikoani wengi ni mtihani mkubwa sana.
Mkuu mbona jaziba tena, kwani mkoani ni pabaya, kuna mambo mengine mazuri yana patikana kwa wake wa mikoani tu, kwahiyo siwezi kupabeza kabisaMattizo binafsi mnayamaliza binafsi sasa JF ndo imekuolea uyo mke au mattzo ya wake zenu ndo myalete humu kua bro acha ushamba iv ni vtu private
Au nia yako ww ni kutukana wanawake wa mikoan wakat ww mwenyewe umezaliwa mkoan umekimbilia dar kutafta maisha na maisha yenyewe ujayapata