Na hapo shida iko wapi?Bila kukashifu imani ya mtu wafungaji wengi ni kama vile wanabadili tu ratiba ya kura tu basi.
Kuna jamaa yangu mimi miaka yote anafunga na hakuna siku anaamka saa kumi alfajili kwa ajili ya kula hichi kinachoitwa daku.
Yeye akishafuturu jioni, usiku by saa 4 au saa 5 anakula mpunga wake akiingia kulala shughuri imekwisha mpaka kesho muda wa kufuturu.
Kujua kupika kwa mwanamke ni lazima haina cha upande huu wala ulejaman jaman
mambo mengine ninkutafta dhambi tu
umeoa mtoto wa watu kutoka upande wa pili hajui hili wala lile , leo unataka akupikie ftari uliyozoea kula kwa mamako
acheni uonevu wanaume nyiee
Muha anapika futari na Kisha akaweka mawese . Ebhana ni tamu hatariUtegemee msukuma akupikie futari?
Mbona mnatafutaga hila tu??
Au muha akupikie futari??????
Jamani jamani
😆😁😄😃😃😅😅😆😄😃Huyo wa mkoani asiyejua kupika labda wa Moshi, Dar, Mbeya Iringa na Kilimanjaro
Na uzuri siku hizi mpaka YouTube kuna tutor.Kujua kupika kwa mwanamke ni lazima haina cha upande huu wala ule
😆😁😄😃😃😀😅😅Hii Hatari Mpeleke Hotel Management Akapate DarasaMuha anapika futari na Kisha akaweka mawese . Ebhana ni tamu hatari
Shida sio kujua kupika, shida ni kupangilia milo kuendana na wakati unaotakiwa kuliwa.Huyo wa mkoani asiyejua kupika labda wa Moshi, Dar, Mbeya Iringa na Kilimanjaro
Aisee!!? Uyo jamaa alikuwa na moyoIla wanawake siku hizi mapishi kwao changamoto kuna jamaa alikuwa na mke wake basi alikuwa akitaka kupika tu anaenda kumuita rafiki yake aje amfundishe chakula unachotaka kupika ye ni bize na fb WhatsApp Instagram.
Kupangilia sio kazi mkuu kazi kukiandaa kilikeShida sio kujua kupika, shida ni kupangilia milo kuendana na wakati unaotakiwa kuliwa.
Mtaftie mtaalam amfundishe, kama akigoma kujifunza furuliza mwez mzima hauli chakula chake huku unasifia chakula cha mwanamke mwingne uone atakavyo Jifunza fasta fastaKupangilia sio kazi mkuu kazi kukiandaa kilike
Ni kweli ratiba ya ulaji inabadilika kidogo,hebu fikiri mtu anakula daku saa kumi alfajiri halafu saa kumi na mbili jioni analalamika kwa Nini kala ugali?Ina maana Hana uwezo wa kuvumilia masaa kumi 14 tu njaa hebu wanaume wa pwani wafike mahali wawe serious Sasa.Bila kukashifu imani ya mtu wafungaji wengi ni kama vile wanabadili tu ratiba ya kura tu basi.
Kuna jamaa yangu mimi miaka yote anafunga na hakuna siku anaamka saa kumi alfajili kwa ajili ya kula hichi kinachoitwa daku.
Yeye akishafuturu jioni, usiku by saa 4 au saa 5 anakula mpunga wake akiingia kulala shughuri imekwisha mpaka kesho muda wa kufuturu.
Tatizo ni kuwaiga waarabu kila kitu, kwani ukifuturu mchemsho wa samaki, wa kuku au wa ng'ombe shida iko wapi? Au ukanywa mtori tu na chapati?Kwani ukila ugali mlaini na nyama Kuna shida gani?yaani mtu kushinda na njaa masaa machache ishakuwa kitu Cha kuogopesha kiasi Cha kutaka uji na urojo kweli?Ninachokiona hapo hao rafiki zako wamekariri tu Maisha...Maana Kuna siku zisizo za ramadhani mtu anakuwa busy hali siku nzima na jioni anaenda kula ugali tu fresh.
Ila ngozi nyeusi sijui Nani alituroga!hapo tumevaa na makobasi na bakora😂Tatizo ni kuwaiga waarabu kila kitu, kwani ukifuturu mchemsho wa samaki, wa kuku au wa ng'ombe shida iko wapi? Au ukanywa mtori tu na chapati?
Tatizo wanataka wakae kwenye jamvi kama waarabu na wale vyakula vya kiarabu, huu ndio utumwa hizi dini umeleta.
Ukishinda na njaa ukila tende inatosha sana kuliandaa tumbo kula chakula chochote na kupandisha sukari mwilini.