Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Uhalisia bado upo Sana tuKama umelelewa kwa tamaduni hizo naamini bado zitakua kwenye damu japo zinaweza fifishwa na mazingira uliyopo sasa ila haiondoi uhalisia.
Tabia ya mtu Ni ngozi
Kwa huku mjini kuepusha kushangawa na watu huwa nabend kidogo
Kwangu Ni mwiko kumsalimia mtu nikiwa mkavu nimenyooka km fimbo
Kuna namna ya kujibehave ktk mazungumzo na mtu hasa mtu mzima