MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
Kelly, kui,.....
''highest ranking job''?? urais??
wako ila wasiwe na connection ya aina yeyote na chama kinachoitwa CCM!! na kama wapo basi wanaume wapo pia tena ndio wanaongoza!
Nchi hii haihitaji kuongozwa na matabasamu, mapenzi-penzi, kitchen party na ngoma za mdundiko! tunahitaji semi-dictator kiongozi (semi-kusimamia sheria na kulinda raia, udikteta katika kusimamia viongozi wengine)!!sio sanaa hii ya kumtoa mtu BOT kumpeleka cheo kingine kinono, huku noti ni zile zile na zina 'harufu' ile ile
Usisahau pia kuwa tumezoea kuwaona viongozi wakiwa wamezeeka na wanaopiga kelele huku wamo humohumo ndani ya CCM. kiongozi anatakiwa awe tracked na tuijue historia yake ki-undani, na atuonyeshe kuwa anaweza, SIO KWA KUIMBA Taarabu!
sia ajabu watu wakaanza kutaja wale wale wa CCM kwani wameishiwa hawana pa kwenda! simply hao viongozi hawapo na hakuna uwiano sawa kwa sababu wameridhika! wanashida gani WAKITAKA UKUU WA WILAYA WANAMLILIA 'MJOMBA'!
hahahahahahaaaa,kwani uwiano ni nanii mkuu?
Uwiano wa JF au?
hahahahahahaaaa,kwani uwiano ni nanii mkuu?
Mimi nimesema Uwiano....na nyinyi mnaleta speculations zenu.
Wewe MwanaF...si umesema wanawake wa Tanzania? Sasa kwa nini mnaanza kuleta speculations. Kuna wanawake wangapi Tanzania wenye hilo jina? Mbona wengi tu...
Mkuu mbona una jishuku? Mimi nimeuliza swali ni huyu wa JF? Simple answer ni yes or no. Kuuliza siyo kuspeculate. Najua kuna weza kuwa na wanawake wengi wenye jina hilo ndiyo maana nikauliza.
Ni wa Tanzania.....
Mimi nimesema Uwiano....na nyinyi mnaleta speculations zenu.
Wewe MwanaF...si umesema wanawake wa Tanzania? Sasa kwa nini mnaanza kuleta speculations. Kuna wanawake wangapi Tanzania wenye hilo jina? Mbona wengi tu...
Sasa hilo ndiyo jibu. Who is she exactly na kwa nini unaona ana faa?
She is not a pushover...she's feisty....she has international exposure...
Uwiano....
hahahahahahaaaa,kwani uwiano ni nanii mkuu?
She is not a pushover...she's feisty....she has international exposure...
Sasa hilo ndiyo jibu. Who is she exactly na kwa nini unaona ana faa?
Mfano wa Kichwa cha kuongoza Tz ni Uwiano Maalum, naweza kuwaongoza na nitawachapa viboko hadi mjue kufanya kazi kwa bidii maana yake nini, adhabu ya fisadi ni kunyongwa mbela ya halaiki.
Hiyo quote nimeitoa kule kwenye thread ya JM.
Hiyo quote nimeitoa kule kwenye thread ya JM.
uwiano akiamka hapawezi kutosha hapa...