Wanawake katika siasa za Tanzania: up for the Highest Office?

Wanawake katika siasa za Tanzania: up for the Highest Office?

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
5,565
Reaction score
843
Politics is a man's world & so is the case in Tanzania. But once in a while we have women who stand out. Who are those women who stand out in Tanzanian politics? Who would be fit for the highest ranking job in the country(uraisi)? Maoni yenu tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
''highest ranking job''?? urais??

wako ila wasiwe na connection ya aina yeyote na chama kinachoitwa CCM!! na kama wapo basi wanaume wapo pia tena ndio wanaongoza!

Nchi hii haihitaji kuongozwa na matabasamu, mapenzi-penzi, kitchen party na ngoma za mdundiko! tunahitaji semi-dictator kiongozi (semi-kusimamia sheria na kulinda raia, udikteta katika kusimamia viongozi wengine)!!sio sanaa hii ya kumtoa mtu BOT kumpeleka cheo kingine kinono, huku noti ni zile zile na zina 'harufu' ile ile

Usisahau pia kuwa tumezoea kuwaona viongozi wakiwa wamezeeka na wanaopiga kelele huku wamo humohumo ndani ya CCM. kiongozi anatakiwa awe tracked na tuijue historia yake ki-undani, na atuonyeshe kuwa anaweza, SIO KWA KUIMBA Taarabu!

si ajabu watu wakaanza kutaja wale wale wa CCM kwani wameishiwa hawana pa kwenda! simply hao viongozi hawapo na hakuna uwiano sawa kwa sababu wameridhika! wanashida gani WAKITAKA UKUU WA WILAYA WANAMLILIA 'MJOMBA'!

ukiwa na viongozi waliozoeazoea kusema sema tu, kuteuliwa pasi kupigania, kupata degree za chupi(sio wote) vyeo vya chupi (sio wote) akifanikiwa mmoja mmoja wao kukatiza na kuwa rais na kama alikuwa na historia chafu, halafu let say naye anakuwa ''Da gama wa kike' unataka akienda nje ya nchi afanye nini , sio ndio -ashakum si matusi utakuta investors wanampitia achilia mbali akina... anza na rais wa marekani...... njoo PM wa UK..... Wafalme wa nchi za kiarabu, wachina ... tutakuwa na rais kweli si ndio mwanzo wa kutuzalia mhindi! huku mumewe mwafrika, mifano ipo ya viongozi wanawake wanavyowapiga chini waume zao-Muulize Meghji!

anyway unazungumza swala la miaka 100 ijayo no problem!
 
Kelly, kui,.....

True. You ladies have my vote any time. Mimi some time back nilikua naona Zakia Meghji anafaa na nikasema aki fanya vizuri wizara ya fedha nitampenda sana sema nae ndiyo hivyo aka teleza. For the future nina majina kadhaa ngoja nifikirie moja nilianike.
 
''highest ranking job''?? urais??

wako ila wasiwe na connection ya aina yeyote na chama kinachoitwa CCM!! na kama wapo basi wanaume wapo pia tena ndio wanaongoza!

Nchi hii haihitaji kuongozwa na matabasamu, mapenzi-penzi, kitchen party na ngoma za mdundiko! tunahitaji semi-dictator kiongozi (semi-kusimamia sheria na kulinda raia, udikteta katika kusimamia viongozi wengine)!!sio sanaa hii ya kumtoa mtu BOT kumpeleka cheo kingine kinono, huku noti ni zile zile na zina 'harufu' ile ile

Usisahau pia kuwa tumezoea kuwaona viongozi wakiwa wamezeeka na wanaopiga kelele huku wamo humohumo ndani ya CCM. kiongozi anatakiwa awe tracked na tuijue historia yake ki-undani, na atuonyeshe kuwa anaweza, SIO KWA KUIMBA Taarabu!

sia ajabu watu wakaanza kutaja wale wale wa CCM kwani wameishiwa hawana pa kwenda! simply hao viongozi hawapo na hakuna uwiano sawa kwa sababu wameridhika! wanashida gani WAKITAKA UKUU WA WILAYA WANAMLILIA 'MJOMBA'!

Sawa mkuu ila swali ni onaona mwanamke gani anaye faa katika nafasi ya juu(ndiyo uraisi)? AU nani kaonyesha kuwa kiongozi bora kwa sasa? It's not about uwiano bungeni au kutaka kuwa pendelea ndiyo maana nauliza nani unaona anafaa?
 
Mimi nimesema Uwiano....na nyinyi mnaleta speculations zenu.

Wewe MwanaF...si umesema wanawake wa Tanzania? Sasa kwa nini mnaanza kuleta speculations. Kuna wanawake wangapi Tanzania wenye hilo jina? Mbona wengi tu...

Mkuu mbona una jishuku? Mimi nimeuliza swali ni huyu wa JF? Simple answer ni yes or no. Kuuliza siyo kuspeculate. Najua kuna weza kuwa na wanawake wengi wenye jina hilo ndiyo maana nikauliza.
 
Mkuu mbona una jishuku? Mimi nimeuliza swali ni huyu wa JF? Simple answer ni yes or no. Kuuliza siyo kuspeculate. Najua kuna weza kuwa na wanawake wengi wenye jina hilo ndiyo maana nikauliza.

Ni wa Tanzania.....
 
Mimi nimesema Uwiano....na nyinyi mnaleta speculations zenu.

Wewe MwanaF...si umesema wanawake wa Tanzania? Sasa kwa nini mnaanza kuleta speculations. Kuna wanawake wangapi Tanzania wenye hilo jina? Mbona wengi tu...

hahahahaa,jamaa mtata sana wewe....
 
She is not a pushover...she's feisty....she has international exposure...

Mh she sounds like a capable woman. Can you give as a few more details like her full name, current position, positions she has held, achievements etc. Anything that can help us see if she is really fitting.
 
Uwiano....

hahahahahahaaaa,kwani uwiano ni nanii mkuu?

She is not a pushover...she's feisty....she has international exposure...

Sasa hilo ndiyo jibu. Who is she exactly na kwa nini unaona ana faa?

Mfano wa Kichwa cha kuongoza Tz ni Uwiano Maalum, naweza kuwaongoza na nitawachapa viboko hadi mjue kufanya kazi kwa bidii maana yake nini, adhabu ya fisadi ni kunyongwa mbela ya halaiki.

Hiyo quote nimeitoa kule kwenye thread ya JM.
 
Back
Top Bottom