''highest ranking job''?? urais??
wako ila wasiwe na connection ya aina yeyote na chama kinachoitwa CCM!! na kama wapo basi wanaume wapo pia tena ndio wanaongoza!
Nchi hii haihitaji kuongozwa na matabasamu, mapenzi-penzi, kitchen party na ngoma za mdundiko! tunahitaji semi-dictator kiongozi (semi-kusimamia sheria na kulinda raia, udikteta katika kusimamia viongozi wengine)!!sio sanaa hii ya kumtoa mtu BOT kumpeleka cheo kingine kinono, huku noti ni zile zile na zina 'harufu' ile ile
Usisahau pia kuwa tumezoea kuwaona viongozi wakiwa wamezeeka na wanaopiga kelele huku wamo humohumo ndani ya CCM. kiongozi anatakiwa awe tracked na tuijue historia yake ki-undani, na atuonyeshe kuwa anaweza, SIO KWA KUIMBA Taarabu!
sia ajabu watu wakaanza kutaja wale wale wa CCM kwani wameishiwa hawana pa kwenda! simply hao viongozi hawapo na hakuna uwiano sawa kwa sababu wameridhika! wanashida gani WAKITAKA UKUU WA WILAYA WANAMLILIA 'MJOMBA'!