Wanawake, Kipi afadhali kati ya kuwa single mother wa tajiri au ndoa na mwanaume mbangaizaji?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kwa mwanamke kipi afadhali kati ya kuwa single mother wa mwanaume tajiri/ kigogo/ mwenye uwezo wa kuhudumia mtoto wake mahitaji yote kuanzia bima ya afya ya maana hadi shule za level ya Feza au ndoa ya kudumu na mwanaume wa kawaida, masikini, kapuku, mbangaizaji ambaye watoto watasoma St Kayumba kidumu na ufagio ?
 
Unataka their honest opinions au unataka wakupe majibu ya kinafki?
 
Kupata jibu la moyoni inaweza kuwa ngumu sana, ila the answer is obvious.
 
ndoa ya kudumu na mwanaume wa kawaida, masikini, kapuku, mbangaizaji ambaye watoto watasoma St Kayumba kidumu na ufagio

Wale wazee wa kusimamia ukucha wanaotaka mwanamke wa kupiga bao 6 sijui agundue nini
 
Hivi single mother ni walotelekezwa kabsa Yan mwanaume hatoi hata mia au hata kama anahudumia ipasavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…