ANNASTACIA
Member
- Nov 16, 2010
- 26
- 1
pole sana best kwa kuugua kwa muda wote huo, ila wanawake tumezidi kuwa na huruma sana na kujali wengine zaidi ya sisi wenyewe ina tu-cost lakini basi hatuachi! Mungu atubariki tu kwa yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pauline pole,ulchosema ni kweli,lakini inategemea hata na maeneo mnayoish,hzi nyumba ze2 za uswazi huku jikoni kuna wamama kibao maneno ya taarabu yamewajaa vnywani how can i enter there nipike?nadhani kwa kaz za ndani ntamsaidia,au hata kumpelekea maji bafuni,kumshka mtoto,pia kumwonyesha hali ya kujali,ila kama 2naish kwenye nyumba ye2 au yenye mazngra mazuri indpendnt kitchen unamsaidia kupika,kufua na mengneyo.....ila sasa wanawake wengne kwa akil zao bu2 ukimsaidia 2 ndo inakua tabu,