wanawake kujiachia.....baada ya uzazi

wanawake kujiachia.....baada ya uzazi

pole sana best kwa kuugua kwa muda wote huo, ila wanawake tumezidi kuwa na huruma sana na kujali wengine zaidi ya sisi wenyewe ina tu-cost lakini basi hatuachi! Mungu atubariki tu kwa yote
 
Pauline pole,ulchosema ni kweli,lakini inategemea hata na maeneo mnayoish,hzi nyumba ze2 za uswazi huku jikoni kuna wamama kibao maneno ya taarabu yamewajaa vnywani how can i enter there nipike?nadhani kwa kaz za ndani ntamsaidia,au hata kumpelekea maji bafuni,kumshka mtoto,pia kumwonyesha hali ya kujali,ila kama 2naish kwenye nyumba ye2 au yenye mazngra mazuri indpendnt kitchen unamsaidia kupika,kufua na mengneyo.....ila sasa wanawake wengne kwa akil zao bu2 ukimsaidia 2 ndo inakua tabu,

hahahah bajabiri saidia bwana...usiache nyumba yako ikavunjika kwa kuogopa maneno ya watu.....umesema kweli sie wanawake saa nyengine akili zetu butu mtu akikusaidia unatafsiri vingine....inabidi wote tubadilike.:A S-alert1:
 
Pole sana dear. Tumshukuru Mungu kwa kuwa afya yako iko njema sasa. Nakuombea mwaka huu uwe wa neema, afya tele,................. yote mema kwako na kwa waTz wote..............

Pole kwa 2010, majaribu ni mtaji wa kumjua Mungu zaidi.
 
Pauline, baada ya kupona umekuja na nguvu zaidi na kasi zaidi na ari zaidi. I hope sio na mme wa mtu kama ulivyosema jana, lol
 
Back
Top Bottom