Wanawake kujiuza kwenye mitandao ya kijamii

Hizo biashara haramu ndio zilizowasomesha hiyo asilimia uliyoitaja,

Halafu kwani mwanamke anajiuza kwa nani? Kwann usiongee na wanaonunua?

Mwisho kabisa, angalia familia yako ya wengine achana nayo.
 
Kumezuka tatizo kubwa la wanawake wa kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii.

Pamoja na kwamba wanawake wamepewa ubongo lakini ni wachache sana wenye uwezo wa kuutumia. Wengi wao kuanzia asububi mpaka jioni wanatumia ubongo wao kuwaza HIPS, na Nywele.

Siku zinazidi kwenda wakisubiria kuolewa alafu hawaolewi sasa wanajifia maskini kwa kusubilia wanunuliwe simu, wapewe pesa za bure, na kujengewa nyumba. Ni aibu sana kwa Tanzania

Ni tatizo kubwa sana, hili na linatokana na malezi mabovu ya watoto wa kike kumzoeza kutegemea wanaume badala ya kujitegemea mwenyewe. Hiyo inamfanya mwanamke ajione hawezi kufanya chochote cha kuzalisha pesa zaidi ya kuolewa na mwanamme ili amtunze asipo olewa ndio hivyo anaanza kufanya biashara ya kujiuza.

Lea mtoto wako wakike mfundishe kufanya kazi mbalimbali kwaajili ya maisha yake ya baadaye.

Mwanamke akitumia akili zake vizuri ndio mwenye uwezo wa kuibadirisha jamii. Asilimia kubwa ya wasomi Tanzania wasomeshwa na wanawake.

Wale mnaojiuza acheni biashara haramu ya kujiuza, kukaa uchi, kuchuna, pesa. Tafuteni pesa kihalali wanawake wakiamua, akili zao zinauwezo mkubwa mnoo.
Asilimia 90 ya mabinti wa Kiafrika wanajiuza either direct or indirect.
 
Tukianza kwa kiwafundisha watoto wetu madhara ya kununua huduma hiyo itafaa zaidi.

Vijana wengi wakiwemo watu wazima wapo addicted na hii kitu.
Waacheni wanaume wakanunue tena zishuke bei kutoka buku 4 hata buku
la sivyo ubakaji na kuambukizwa Ukimwi hakutakoma
sasa mtu anafungwa maika 30 wakati hucuma mpaka za mkopo km kwa mama ntilie zipo? hiyo biashara iwe huria kabisa sawasawa na Bhange lilivyokubaliwa kuwa ni Tiba
 
Asee[emoji3]

Sent from my Nokia 3.1 using JamiiForums mobile app
 
Kumezuka tatizo kubwa la wanawake wa kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii.

Pamoja na kwamba wanawake wamepewa ubongo lakini ni wachache sana wenye uwezo wa kuutumia. Wengi wao kuanzia asububi mpaka jioni wanatumia ubongo wao kuwaza HIPS, na Nywele.

Siku zinazidi kwenda wakisubiria kuolewa alafu hawaolewi sasa wanajifia maskini kwa kusubilia wanunuliwe simu, wapewe pesa za bure, na kujengewa nyumba. Ni aibu sana kwa Tanzania

Ni tatizo kubwa sana, hili na linatokana na malezi mabovu ya watoto wa kike kumzoeza kutegemea wanaume badala ya kujitegemea mwenyewe. Hiyo inamfanya mwanamke ajione hawezi kufanya chochote cha kuzalisha pesa zaidi ya kuolewa na mwanamme ili amtunze asipo olewa ndio hivyo anaanza kufanya biashara ya kujiuza.

Lea mtoto wako wakike mfundishe kufanya kazi mbalimbali kwaajili ya maisha yake ya baadaye.

Mwanamke akitumia akili zake vizuri ndio mwenye uwezo wa kuibadirisha jamii. Asilimia kubwa ya wasomi Tanzania wasomeshwa na wanawake.

Wale mnaojiuza acheni biashara haramu ya kujiuza, kukaa uchi, kuchuna, pesa. Tafuteni pesa kihalali wanawake wakiamua, akili zao zinauwezo mkubwa mnoo.
Nipe namba zao niwapigie kuwakanya mkuu!
 
Siku zote makosa ya wanaume katika jamii wahanga wake ni wanawake. Wanaume wakitimiza majukumu yao hakuna mwanamke atakaeingia barabarani kusubiri wanaume wamtindue apate pesa.
 
Back
Top Bottom