Wanawake kunyeweni mtindi badala ya soda ni tiba

Mkuu pamoja na kunywa mtindi WAWE WANA KOSHA MAUMBILE YAO KWA MAJI SIO KUJIFUTA NA MAKARATASI BILA KUJISAFISHA KWA MAJI
 
nani kakuambia vaginal secretions zina harufu nzuri?
nachojaribu ni kutaka kukuelimisha maana hayo masuala ya uzazi kwa ujumla nayafahamu kidogo.
Harufu yoyote isiyo ya kukera ni harufu nzuri na yes vagina ina harufu flani natural hivi(nzuri ) ikiwa tofauti na hiyo natural smell sasa ndiyo tunaita harufu mbaya, kuna waliosema kuna harufu mbaya wamekutana nazo kama samaki vile sasa hiyo ni kawaida?
Karibu kwa elimu zaidi
 
Huwa ina harufu yake ya asili inatufanya wanaume tu enjoy na kuhamasisha stimu kupanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…