Wanawake kunyeweni mtindi badala ya soda ni tiba

Wanawake kunyeweni mtindi badala ya soda ni tiba

Hellow

Wadada mnahangaika sana kwenda hospital kununua dawa za UTI sugu wengi mnaangaika kununua marashi ili kwabibi kusiteme harufuku ushauri wanguu fanyeni mtindi ndio kinywaji chenu achaneni na soda sijui juice za matunda wewe hakikisha kila siku unakula mtindi kula kama kinywaji chako cha kila siku ilo jasho la kwabibi litakata

Unakuta manzi mrembo afu kwabibi kunatema hii sio sawa ushauri wa bure ata kwa sisi wanaume kama unakijasho kila cha kwapa mtindi unatibu

Kwa wadada mpaka fangus za kwa bibi ukitumia mtindi hazitokusumbua
Mbona mimi ni mfugaji kila siku nakunywa mtindi na maziwa fresh,lakini nisipopaka deodorant/roll on siku moja tu inakuwa shida,acha kudanganya watu.
 
Mtindi ukinywa glass Moja usiku na punje tatu za kitunguu Thoum ni bonge la tiba ya maradhi mengi ila kitunguu kikate japo vipande vitatu.
 
Back
Top Bottom