Wanawake kuolewa na wanaume wadogo hivi imekuwa fasheni!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Dogo janja na irine uwoya

Aunt Ezekiel na moze iyobo

Zari na diamond

Shilole na Uchebe

Hiyo ni mifano ya watu mashuhuri!
Mitaani ndo balaa!

Je kuna tatizo sehemu!
Ina maana watoto ni watamu zaidi au ndo habari ya mjini!
 
Dogo janja na irine uwoya

Aunt Ezekiel na moze iyobo

Zari na diamond

Shilole na Uchebe

Hiyo ni mifano ya watu mashuhuri!
Mitaani ndo balaa!

Je kuna tatizo sehemu!
Ina maana watoto ni watamu zaidi au ndo habari ya mjini!

Nadhani wanaume na wanawake wote wanaangalia fursa kwa mwenza anayeolewa naye,umri umekuwa namba tu
Nadhani wanaume na wana
 
Tatizo ni hivyo vitoto kupenda kulelewa hakuna kingine hapo.

Na walio wengi wananyanyasika sana tu humo ndoani sababu hawana kauli.
Na nyinyi mnavipenda kuna mambo vinawape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…