Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo janja na irine uwoya
Aunt Ezekiel na moze iyobo
Zari na diamond
Shilole na Uchebe
Hiyo ni mifano ya watu mashuhuri!
Mitaani ndo balaa!
Je kuna tatizo sehemu!
Ina maana watoto ni watamu zaidi au ndo habari ya mjini!
Mkuu nadhani mimi ni third part,wao ndo wanaweza kukupa hili jibu kwa ufasahaKwa mfano shilole fursa iko wapi hapo
Hapo mwenye akili mdogo n mwanaume na umariooo ndio unawamalizan,,,,Akili ya mwanamke muachie mwanamke mwenyewe
Kwa mfano shilole fursa iko wapi hapo
Sasa pov la nn?Mkuu Mimi sijasema nataka kuoa mwanamke mkubwa