Huwezi kuwatumia hao wasanii kuwakilisha wanawake.Dogo janja na irine uwoya
Aunt Ezekiel na moze iyobo
Zari na diamond
Shilole na Uchebe
Hiyo ni mifano ya watu mashuhuri!
Mitaani ndo balaa!
Je kuna tatizo sehemu!
Ina maana watoto ni watamu zaidi au ndo habari ya mjini!
Labda kioo cha jamii kama yako. Wema utasema anawakilisha mwanake wa kuheshimika Tz?Wasanii kwani wanaishi kisiwani kwao!?
Wao ni kioo cha jamii
Wewe umetuletea mifano yako ya watu wako, ndio nakwambia hao huwezi kuwatumia kama kielelezo. Mtaani kwetu hakuna mama alieolewa na mtoto, sijawahi kuona hio na uzee wangu huu.Umemuona wema tu!!! Huoni haya mambo huko mtaani au umejivika miwani ya mbao!
Dah! Mkuu we kabila gani,sorryWewe umetuletea mifano yako ya watu wako, ndio nakwambia hao huwezi kuwatumia kama kielelezo. Mtaani kwetu hakuna mama alieolewa na mtoto, sijawahi kuona hio na uzee wangu huu.
Kwani na wewe hujasoma fasihi? Hujaelewa nilipokwambia kwetu sijaona mama alieolewa na mtoto? Maana ya mtoto kwenye sentensi yangu ni hio hio unayomaanisha wewe.Dah! Mkuu we kabila gani,sorry
Hujasoma fasihi ina maana nikisema mtoto kuoa mtu mzma huelewi!!
Wanawake Wa umri mkubwa kuolewa na wanaume wadogo zao!
Akaaa! Mie wala sivipendi aisee.Na nyinyi mnavipenda kuna mambo vinawape
Wanaume wadogo wana pumzi ya kupanda milima mikali kama Sekenke [emoji85] !! Ujue hizo gari gear box zilishashushwa [emoji12]Dah! Mkuu we kabila gani,sorry
Hujasoma fasihi ina maana nikisema mtoto kuoa mtu mzma huelewi!!
Wanawake Wa umri mkubwa kuolewa na wanaume wadogo zao!
Haina maana kuwa ndo utaratibu ila hili suala limeanza kushika kasi na mifano ni ya hao wasaniiKwani na wewe hujasoma fasihi? Hujaelewa nilipokwambia kwetu sijaona mama alieolewa na mtoto? Maana ya mtoto kwenye sentensi yangu ni hio hio unayomaanisha wewe.
Sawa DJ, binafsi sijaona kuwa ni wengi kiasi cha kuleta athari yoyote.Haina maana kuwa ndo utaratibu ila hili suala limeanza kushika kasi na mifano ni ya hao wasanii
wewe unaweza kuolewa na mtu uliemzidi miaka kama 5-10?Haya mambo yalikuwepo tangu zamani, hata Mtume alioa mke aliyemzidi umri.
Achilia mbali ninayemzidi,hata ninayelingana naye simtaki.wewe unaweza kuolewa na mtu uliemzidi miaka kama 5-10?