Wanawake kuolewa na wanaume wadogo hivi imekuwa fasheni!

Dogo janja na irine uwoya

Aunt Ezekiel na moze iyobo

Zari na diamond

Shilole na Uchebe

Hiyo ni mifano ya watu mashuhuri!
Mitaani ndo balaa!

Je kuna tatizo sehemu!
Ina maana watoto ni watamu zaidi au ndo habari ya mjini!
Huwezi kuwatumia hao wasanii kuwakilisha wanawake.
 
Labda kioo cha jamii kama yako. Wema utasema anawakilisha mwanake wa kuheshimika Tz?
Umemuona wema tu!!! Huoni haya mambo huko mtaani au umejivika miwani ya mbao!
 
Wewe umetuletea mifano yako ya watu wako, ndio nakwambia hao huwezi kuwatumia kama kielelezo. Mtaani kwetu hakuna mama alieolewa na mtoto, sijawahi kuona hio na uzee wangu huu.
 
Dah! Mkuu we kabila gani,sorry
Hujasoma fasihi ina maana nikisema mtoto kuoa mtu mzma huelewi!!

Wanawake Wa umri mkubwa kuolewa na wanaume wadogo zao!
 
Kwani na wewe hujasoma fasihi? Hujaelewa nilipokwambia kwetu sijaona mama alieolewa na mtoto? Maana ya mtoto kwenye sentensi yangu ni hio hio unayomaanisha wewe.
 
Wanaume wadogo wana pumzi ya kupanda milima mikali kama Sekenke [emoji85] !! Ujue hizo gari gear box zilishashushwa [emoji12]
 
Mambo mengine sunnah kuyafanya,sema tu vijana wa sasa hawaoani kwa misingi ya dini bali wanachunguliana mifukoni.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haya mambo yalikuwepo tangu zamani, hata Mtume alioa mke aliyemzidi umri.
 
Kwani na wewe hujasoma fasihi? Hujaelewa nilipokwambia kwetu sijaona mama alieolewa na mtoto? Maana ya mtoto kwenye sentensi yangu ni hio hio unayomaanisha wewe.
Haina maana kuwa ndo utaratibu ila hili suala limeanza kushika kasi na mifano ni ya hao wasanii
 
Back
Top Bottom