Bado naendelea na utafiti,kamati yangu ipo hatua za mwisho mwisho. Loading 86%....Dogo janja na irine uwoya
Aunt Ezekiel na moze iyobo
Zari na diamond
Shilole na Uchebe
Hiyo ni mifano ya watu mashuhuri!
Mitaani ndo balaa!
Je kuna tatizo sehemu!
Ina maana watoto ni watamu zaidi au ndo habari ya mjini!
sijaolewa.Wewe umeolewa na uliyemzidi
KeWewe ni me
Imani yako inakuponya... USIJEANZA KUFUKUNYUA MAMBO...Kasoro mimi na chamdeko
Boifrendi wako kakuzidi au umemzidi?sijaolewa.
Wee ulishawahi ona wapi Leyland ikitesa misele mjini?? Bwana wee Tuache na mijimama yetu siye tule mafaoDogo janja na irine uwoya
Aunt Ezekiel na moze iyobo
Zari na diamond
Shilole na Uchebe
Hiyo ni mifano ya watu mashuhuri!
Mitaani ndo balaa!
Je kuna tatizo sehemu!
Ina maana watoto ni watamu zaidi au ndo habari ya mjini!
Mwingine ni RiyamaDogo janja na irine uwoya
Aunt Ezekiel na moze iyobo
Zari na diamond
Shilole na Uchebe
Hiyo ni mifano ya watu mashuhuri!
Mitaani ndo balaa!
Je kuna tatizo sehemu!
Ina maana watoto ni watamu zaidi au ndo habari ya mjini!
USISHANGAE MKUU, GARI BOVU HUSUKUMWA NA GARI ZIMA (jipya). Kuku kijana no kazuri kukala! KANANYUMBILIKA!Dogo janja na irine uwoya
Aunt Ezekiel na moze iyobo
Zari na diamond
Shilole na Uchebe
Hiyo ni mifano ya watu mashuhuri!
Mitaani ndo balaa!
Je kuna tatizo sehemu!
Ina maana watoto ni watamu zaidi au ndo habari ya mjini!
OkIla walikuwa mtu na dogo!
Haahahahha,Mkuu umenkumbushaa enzi nasomea Sheria neno third part hongera kwakunkumbusha mbaliMkuu nadhani mimi ni third part,wao ndo wanaweza kukupa hili jibu kwa ufasaha
SinaBoifrendi wako kakuzidi au umemzidi?
Agata, ngoja n0kufuate PM wallahSina
Hahaha sio mdogo wangu wewe?Agata, ngoja n0kufuate PM wallah