Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Kuhusu utamu wa wanawake wenye ndevu? Hebu nitafutie mmoja nifanye testing chap chap sana!!!
Utuletee jibu haraka sana aiseee ili kama zinatafutwa na wengine tutafute, wasifiwe wao tu,...:A S 13::A S 13:
 
Utuletee jibu haraka sana aiseee ili kama zinatafutwa na wengine tutafute, wasifiwe wao tu,...:A S 13::A S 13:

Haiwezekani!!!!!!

Itabidi nikimaliza kwa huyo mmoja njie ni-test na kwako ili nipate comparison na contrast!
 
siku hizi imekua too much mi nilksikia ni vipodoz na madawa ya uzazi wa mpango

ni tetesi tu hizo mi ninazo na kifuani pia , situmii vipodozi na sijawahi kumeza hayo makitu, zimenza nikiwa na 17years kamoja nakumbuk kidevuni miaka inavyoenda zimeongezeka,
 
bwahahaha ati watamu bwahaha utamu unatokana na outside features za mtu au ni mautundu yenu wenye hahah unawaingiza watu chaka bana tena chaka bovu bwahahaha buhahaha duh
Hata kucheka kwako pia kunaonesha wewe ni mtamu sana, maana ni tofauti na vicheko vya wanadada wengine.

Hapo nimetumia outside feature...
 
inakuwa kama ulimwengu wa kambale baba sharubu mama sharubu usiku utafikiri umelala na mwanaume mwenzako
 
Wanawake wengi walio na ndevu ni wanywaji wakubwa sana wa PENIS JUICE.Jamani SHAHAWA cyo maji ya kunywa hayo acheni akina dada.Matokeo ya kumeza shahawa za wanaume ndo moja wapo ni kuoteana mindevu isiyokuwa na mbele wala nyuma.

Huu utafiti wako ulifanyia wapi mkuu?!
 
Aisee wakuu hili sasa ni janga. Nipo kwenye daladala nimekaa na mwanamke ana mi Osama a.k.a mindevu ya kufa mtu Rick Ross mwenyewe anasubiri.
Sasa najiuliza au ndio 50/50 inakuja automaticale??

Serikali naomba iingilie kati jamani kama inanisikia kwa maana hili ni janga la kitaifa kama majanga mengine tu Escrow, safari za jeikei, posho n.k.....!!!!
 
sa cha ajabu nini? mbona hushangai kuwa na nywele za kwapa kwa wanawake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…