Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Wapunguze kula chipsi kuku zina madhara makubwa kwa afya zao angalia wengine wanatokwa na vitambi kabisa

Halafu siku hizi kuna mtindo eti wanafanya mazoezi ya kupunguza tumbo
 
Halafu siku hizi kuna mtindo eti wanafanya mazoezi ya kupunguza tumbo

Wanakula sana vyakula vya wanaume yaani unatoka out na mwanamke anapakia msosi ngoma droo na mwanaume unakuta kilaji anaondoka Castle Lager huku kapiga sahani ya mchemsho asitoke kitambi hapo unafikiri mchezo.
 
Mwanaume hutakiwi kuchomwa na ndevu za mwanamke unatakiwa uchomwe na chuchu

Tafuta mwanamke mwenye ndevu uone anavyo noga mi nakwambia kwa uzoeefu wangu watamu kweli kweli alafu wamoto balaa ukiwa nae sehemu za baridi kama Kilimanjaro au Makambako huko unamgeuza anakuwa blanket
 
muda si mrefu jinsia zote mbili zitakuwa sawa tu na hakutakuwa na mvuto wowote between them
 
Huyu hapa ni Kaunta Bar moja maarufu Moro hapo mtamu kweli kweli

Dah! ila hizo zimekaa vibaya kweli, mbona kaziacha hivyo makusudi!!. utadhani beberu. Loh!
 
Dah! ila hizo zimekaa vibaya kweli, mbona kaziacha hivyo makusudi!!. utadhani beberu. Loh!

Sometimes huwa anazichana kabisa yeye hana noma wala nini ila mtamu sana
 
Ila nimewahi kusikia wanawake wenye ndevu ni watamu kweli. Sijui kuna ukweli gani. Kama kuna ukweli bora wacha waongezeke.

Duuuu! jamani shughuli ni watu na watu ndo sisi. Hivi mkuu mefikiria nini hadi kuongea hii maneno. Aisee ngoja nizime laptop yangu, naweza nikaishia kuvunjika mbavu mie!
 
Mbona wanaume wanaota matiti?

Ila hormones inaweza kuwa ni chanzo.
 
Duuuu! jamani shughuli ni watu na watu ndo sisi. Hivi mkuu mefikiria nini hadi kuongea hii maneno. Aisee ngoja nizime laptop yangu, naweza nikaishia kuvunjika mbavu mie!

Hata mimi nimeshangaa mkuu baba ana ndevu mama nae ana ndevu
 
Kumbe umeambiwa? haya na mimi nakwambia tena watamu sana, ila sihamasishi watu wengine mjaribu maana wapo wachache tutaanza kugombea hapa.

Ila nimewahi kusikia wanawake wenye ndevu ni watamu kweli. Sijui kuna ukweli gani. Kama kuna ukweli bora wacha waongezeke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…