Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

HII INAHUSIANA NA HORMONAL CHANGES.JINSIA ZOTE ZINA HORMONES ZOTE - ZA KIKE NA KIUME ILA KWA KIWANGO KIDOGO ( MEANING WANAWAKE WANATAKIW AKUWA NA KIWANGO KIDOGO CHA HORMONES ZA KIUME) ZINAPOZIDI, HASA WAKATI WA MENOPAUSE AU KWA SABABU MBAIMBALI IKIWEMO MATUMIZI YA DAWA NA VIPODOZI basi ndevu hushamiri kama huyo mdada.Unamuona alivyojichubua?
 
Ngoja nilifanyie kazi kwanza..!!
 
Sometimes huwa anazichana kabisa yeye hana noma wala nini ila mtamu sana

Mkuu hebu tupe siri ya urembo zaidi, maana ukisema mtamu tu haitoshi. huo utamu ukoje!! kwi kwi kwi...
 
Wengine wana bustani ya mapenzi a.k.a Garden Love za ukweli
 
Duh! Ndio maana vifaa vya kunyolea ndevu siku hizi vimepanda bei kumbe demand imezidi...
 
Hata waziri wetu wa sheria na katiba full ndevu
 
Siku za karibuni naona kuna ongezeko kubwa la wanawake wenye vipara kichwani, ndevu na nywele kifuani.
Pia kuna ongezeko kubwa la wanaume wenye maumbile ya kike kama hips kubwa na maziwa kama ya wasichana.
Pia kuna ongezeko kubwa la vijana wadogo walio kwenye miaka yao ya ishirini ya mwanzoni kuota vipara na kuwa mvi.
Je vitu hivi vinasababishwa na nini?
 
Wanawake wenye vipara bado sijawaona ila ndevu yupo msemaji wa jeshi lo polisi tz
 
vyakula vilivyosindikwa,siku watanzania walio na pesa wanaamini kuwa ukinunua vyakula vya supermarket vilivyosindikwa ndo wataonekana matawi
 
Wanawake wenye vipara bado sijawaona ila ndevu yupo msemaji wa jeshi lo polisi tz

Aisee yule mama!!!! sijawahi ona mwanamke ana ndevu kiasi kile...Anatia huruma.
 
Testosterone ndo inaregulate mtu kuwa mwanaume mf masculinization, upara, ndevu, sauti etc. The vice versa unakuwa mwanamke. Any imbalance kwenye hiyo hormone mtu anakuwa na vitu visivyo vya jinsia yake. Mf semenya alikuwa na ectopic production ya testosterone kutoka ndani ya via vya uzazi ndo mana akawa vile. Walichomfanyia ni kusupress production yake ndo maana siku hizi anaonekana yuko feminized. Mabadiliko ya kimazingira, genetics, dawa, magonjwa huchangia kuwa na low au high levels za hiyo hormone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…