Wapo wanawake wenye ndevu za kuzaliwa nazo na hawa si mjadala hapa.
WANAWAKE NAOWAZUNGUMZIA NI WALE NGULI WA MATUMIZI YA VIPODOZI.
Katika study case yangu ndogo niliyoifanya dar es salaam katika usafiri wa daladala hasa miaka ya 2007 mpaka 2009 nilikuja kugundua wanawake wengi walioonekana wana ndevu walikuwa na ngozi iliyotiwa mkorogo(cream) tena ikiwa imeharibika,weupe si weupe,wekundu si wekundu.
NA NI AJABU KUWA KARIBU KILA SIKU NILIKUTANA NA HAWA WATU KATIKA DALADALA TOFAUTITOFAUTI.
Katika hali ya kawaida ni ngumu sana kukutana na mwanamke mwenye ndevu za kuzaliwa nazo lakini ni jambo jepesi kumuona mwanamke anaetumia mkorogo aliyeota ndevu ukubwani kwa sababu ya mikorogo.
LADIES siyo kila kitu kwenye urembo kinafaa,take care na matumizi ya mikorogo.NGOZI YENU NI BORA KULIKO ILE YA MKOROGO,ngozi yenu inazuia mionzi ya jua kuwasababishia kansa,ngozi yenu inadumu miaka na miaka.
KWA WALE WANYONYESHAO WATOTO WAO WANANYONYA SUMU ZA COSMETICS ZENU ZINAZOTIRIRIKA KAMA JASHO MPAKA KWENYE MATITII.
stop this.