Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Eti wana sukari ni kweli??
ni watamu kinoma, tena ukiona ana ndevu basi ujue hata hizi za kinenani zinapanda hadi kwenye kitovu basi ni raha mustarehe!!!

Pia wana bahati sana ya kimaisha, ukimpata basi chochote atakachokibariki aisee kitaenda vizuri mno!!
 
ni matatizo ya hormones pia katika pita pita zangu nilisikia kuku wa kisasa na vidonge vya majira n chanzo pia
Huwa hawazinyoi kwa sababu zinakua zaidi zikinyolewa (source mmama mwenye ndevu alisema mwenyewe)
kuhusu bahati ya pesa hapo sijui nadhan ni imani tu za ajabu na ubrave wao labda ni kutokana na hormones chache za kiume walizonazo
 
ni matatizo ya hormones pia katika pita pita zangu nilisikia kuku wa kisasa na vidonge vya majira n chanzo pia
Huwa hawazinyoi kwa sababu zinakua zaidi zikinyolewa (source mmama mwenye ndevu alisema mwenyewe)
kuhusu bahati ya pesa hapo sijui nadhan ni imani tu za ajabu na ubrave wao labda ni kutokana na hormones chache za kiume walizonazo
Well understood mkuu.
 
Mwanamke kuwa na ndevu ni sawa na mwanaume kuvaa shanga kiunoni! mimi kwangu ni maajabu!
 
zamani ilikuwa ni aghalab sana tunu mwanamke kuwa na ndevu au vijidevu, siku hizi mikorogo inawaharibu watoto zetu jamani, wanaota ndevu baada ya kuchezea maumbile yao ya asili. Mungu hakosolewi.

wanachezeaje mkuu?. mia
 
Wapo wanawake wenye ndevu za kuzaliwa nazo na hawa si mjadala hapa.

WANAWAKE NAOWAZUNGUMZIA NI WALE NGULI WA MATUMIZI YA VIPODOZI.

Katika study case yangu ndogo niliyoifanya dar es salaam katika usafiri wa daladala hasa miaka ya 2007 mpaka 2009 nilikuja kugundua wanawake wengi walioonekana wana ndevu walikuwa na ngozi iliyotiwa mkorogo(cream) tena ikiwa imeharibika,weupe si weupe,wekundu si wekundu.

NA NI AJABU KUWA KARIBU KILA SIKU NILIKUTANA NA HAWA WATU KATIKA DALADALA TOFAUTITOFAUTI.

Katika hali ya kawaida ni ngumu sana kukutana na mwanamke mwenye ndevu za kuzaliwa nazo lakini ni jambo jepesi kumuona mwanamke anaetumia mkorogo aliyeota ndevu ukubwani kwa sababu ya mikorogo.

LADIES siyo kila kitu kwenye urembo kinafaa,take care na matumizi ya mikorogo.NGOZI YENU NI BORA KULIKO ILE YA MKOROGO,ngozi yenu inazuia mionzi ya jua kuwasababishia kansa,ngozi yenu inadumu miaka na miaka.

KWA WALE WANYONYESHAO WATOTO WAO WANANYONYA SUMU ZA COSMETICS ZENU ZINAZOTIRIRIKA KAMA JASHO MPAKA KWENYE MATITII.

stop this.
 
Fanya research ya mikorogo, ipo quality na ile ya uswazi. Watumiaji wakuu wa mikorogo dunia nzima ni waarabu umewahi kukutana na mwarabu mwenye athari za mikorogo?

Sitetei sana!

Mungu asante kwa kunipa haka ka waupe nikiongezea na body cream aaaaah inatosha!
 
Kwa kutongoza wanaume hao wanawahe wenye ndevu wanaongoza sijajua ni kwa nn
 
Khu mwarabu tayari mweupe anaweka mkorogo tena mhh sidhani
 
Kuna wanawake wanazaliwa na ndevu? Wapi huko? Unatofautishaje ndevu kua hizi ni kuzaliwa na hizi za mikorogo? Vp kuhusu Wakongo manake wao mkorogo ama kujichubua ni utamaduni si wa kike wala wa kiume ama nao wana ndevu,endelea na research mpaka kwenye daladala la CONGO mkuu ILA kujichubua ni hatari saana.LAKINI elewa kuna vipodozi feki na original.
 
Sio wote..I wish nikuwekee picha ya anti angu ni mweusi hatumii mkorogo

ila ana ndevu...wengine wanazaliwa nazo
 
Si wote kwenye ndevu wanatumia mkorogo mimi mwenyewe nina ndevu na situmii mkorogo zimeota tu zenyewe napingana na hilo.
 
siku hizi kila mtanzania amekuwa mtafiti haya ngoja tuone hayo matunda ya Utafiti.
 
haki sawa bhana..acha waote ndevu tena hata zile za kifuani zikianza leo si vibaya.
 
Back
Top Bottom