Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Evelyn Salt baada ya kusema ana ndevu kaona aibu ku-comment, hahahaha.Umeona ndevu tu....hata vuzi zipo.
Ntokee hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Evelyn Salt baada ya kusema ana ndevu kaona aibu ku-comment, hahahaha.Umeona ndevu tu....hata vuzi zipo.
Ntokee hapa
Mh si maneno hayo, lakini hata hivyo hujawahi kumuona, mtoto yupo softiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, wewe tu na roho yakoEvelyn Salt baada ya kusema ana ndevu kaona aibu ku-comment, hahahaha.
Watu mnapenda picha balaa,eti Photo please...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Photo please.
Itambidi azinyoe ili akae vizuri sasa bila kunyoa wewe unaona inakuwa sawa hiyo? pata picha mwanaume ambae hajanyoa ndevu kwa miezi3, vp kwa mtu kama Winlicious
au wewe ndo wapale tabata mawenzi?Ya ndevu au
Duuuu.... sipati picha kule kwenye maeneo ya msitu wa CongoBinafsi nina ndevu ila sipendi, kwetu tuna asili ya nywele nyingi! Vinyweleo vingi mpaka watu huwa wanatushangaa, nataman nijue dawa ya ndevu tu maana zinaninyima raha hapa nilinyoa juzi leo zishasimama tena
Unaimani kuwa kadhalilishwa? au ndio wewe kamanda mwenyewe? km ni wewe na hujapenda basi nisamehe ila km si wewe basi usilalamikie ukali wa pilipili wakati hujaila.Ni kipi kilichokufanya utaje kamanda wa police mbona ujumbe umefika siku nyingine usirudie Tena hakuna anayependa kudhqririshwa kwenye mitandao.