Wanawake kuota ndevu, tatizo hasa ni nini??

Wanawake kuota ndevu, tatizo hasa ni nini??

Uuuwi jamani vipanguso hivi. Nilimaanisaha usoni sipakagi mafuta kwani uso una mafuta sana.
Pole sana vipi ulienda hospital na ulipata tiba na ushauri gani?
 
Halafu wanawake wengi kutokea mkoa wa mbeya wana ndevu. Hua najiuliza ni kwanini
 
Kuna issue ya hormonal imbalance na pia kuna asili, hivo ni muhimu kufanya vipimo vya hormones hasa Testosterone kwa mwanamke kama huyu pia kufahamu ni
 
Kuachana na wale wenye ndevu za ukoo kama tusemavyo waswahili il ukiangalia idadi kubwa ya wanawake wenye ndevu nniwale wanaopaka mkotogo chunguza vizuri
 
USIOGOPE. ni imbalances za hormone tu kiduchu, linatatulika. ila kama unaona unaweza kutunga mimba basi easy tu chukulia poa.
 
Wanawake wengi wanaotumia mkorogo wanaota ndevu.
Wadada wengi wasasa nnaowaona wakitumia hayo makitu ndevu zimewaota.
 
Binafsi nina ndevu ila sipendi, kwetu tuna asili ya nywele nyingi! Vinyweleo vingi mpaka watu huwa wanatushangaa, nataman nijue dawa ya ndevu tu maana zinaninyima raha hapa nilinyoa juzi leo zishasimama tena
Duuuu.... sipati picha kule kwenye maeneo ya msitu wa Congo
 
Ni kipi kilichokufanya utaje kamanda wa police mbona ujumbe umefika siku nyingine usirudie Tena hakuna anayependa kudhqririshwa kwenye mitandao.
 
Inabidi tufanye uchunguzi either Ni chakula au mazingira angalia wazambia Na watu WA mbeya wengi Wana ndevu wanawake
 
Some times is genetic makeup a.k.a genotype

Kuna baadhi ya wanawake wana hiyo gene kwaajili ya secretion ya ndevu kama wanaume

So kuota ndevu kwa mwanamke n abnomality either in genes arrange ment or chromosomal abnormalities
 
Ni kipi kilichokufanya utaje kamanda wa police mbona ujumbe umefika siku nyingine usirudie Tena hakuna anayependa kudhqririshwa kwenye mitandao.
Unaimani kuwa kadhalilishwa? au ndio wewe kamanda mwenyewe? km ni wewe na hujapenda basi nisamehe ila km si wewe basi usilalamikie ukali wa pilipili wakati hujaila.
Mbona wengi tu hutajwa kwa mifano hai pia sidhani kama jambo baya kwa upande wangu hasa pale tunapotaka kutatua tatizo hivyo kupitia mifano hyo basi watu watafanikiwa zaidi ktk uelewa.
 
Back
Top Bottom