Truths
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,494
- 1,504
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi unafurahisha kweli huu.
Ukisoma comments za wanawake karibu wote waliochangia kwenye huu Uzi wanasema eti wanaume weupe hawawavutii kabisa, wakati huo ukienda kule LOVE CONNECT karibia kila mdada anaetafuta mume kigezo kimoja kimoja wapo anataka mwanaume awe mweupe.
Hivi wanawake kuna siku mtafahamu mnachokitaka eti?
Na irene uwoya anasema anapendelea wanaume wenye Sura mbaya.
Hivi huyu mzima kweli.?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]