[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi unafurahisha kweli huu.
Ukisoma comments za wanawake karibu wote waliochangia kwenye huu Uzi wanasema eti wanaume weupe hawawavutii kabisa, wakati huo ukienda kule LOVE CONNECT karibia kila mdada anaetafuta mume kigezo kimoja kimoja wapo anataka mwanaume awe mweupe.
Hivi wanawake kuna siku mtafahamu mnachokitaka eti?
tena wenye makovu na ngeu kabisa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na irene uwoya anasema anapendelea wanaume wenye Sura mbaya.
Hivi huyu mzima kweli.?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Atakua anajisikia aibu sanatena wenye makovu na ngeu kabisa!
Wanaume weupe bwana!!! Wala siwaangaliagi mara mbili mie!!!
Wewe unazuga tu hapa!Mie najua nitakacho... Na nshakipata tayari!!!
Hujambo lakinii
JamaaniDaaah... Yaani mpaka wewe jamani una allergy na rangi nyeupe?
Haya sasa nimeghairi na kukuletea mbege wikeend hii maana umeshasema hutaniangalia mara mbili.
Lazima nizuge bwana... Sasa ukute Mungu kaniandalia kitu cheupe Naaanzaje kuremba!!!!!Wewe unazuga tu hapa!
Sijambo kabisa swaiba, mzima?
Yule atakuwa na sababu zake ambazo ni minor sana, pengine labda aliwahi kikutana na njemba yenye sura mbaya ika mkaza haswa basi tangu siku hiyo anajiaminisha dume lenye sura mbaya ni limtu la kazi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na irene uwoya anasema anapendelea wanaume wenye Sura mbaya.
Hivi huyu mzima kweli.?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ma handsome je? Maana kuna wadada washawah kunambia hawanipendi na hawataki uhusiano sababu mm ni handsome! Nikashindwa kuwaelewa had leo
Jamaani
Lakinii wewe sio mweupe bwana... We nletee tuu lita tatu yatosha!!! Ujue nachangia tu mada mie
Hama hakika mgaa gaa na ukwa hali ubwabwa mkavu, hatuwezi kuremba hata kama tayari kipo basi utakiweka pending hicho kingine.Lazima nizuge bwana... Sasa ukute Mungu kaniandalia kitu cheupe Naaanzaje kuremba!!!!!
Mie Sijambo swahiba.... Nani alikuficha jamani??!!!
AiseeHahaha.... mimi mweupe wewe yaani ni mweupe kama mavi ya dengu tena siku hizi jua kali limenichakaza.
Hapana mbege sikuletei si umesema utaki kuniangalia mara mbili itabidi sasa uifuate mwenyewe tena uje na mrija wako au bomba la papai!
Nani huyo alikuonya tena swahiba!!!Hama hakika mgaa gaa na ukwa hali ubwabwa mkavu, hatuwezi kuremba hata kama tayari kipo basi utakiweka pending hicho kingine.
Nilijipa ban ya wiki nzima baada ya kupewa onyo humu jukwaani, ila nimekumbuka kweli nafurahi kuskia ni buheri wa afya.
hahaha sio mzima yuleAtakua anajisikia aibu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee
Ujue napenda wanaume weupe eeeh!!!! Yaani nawapenda kweeli... Basi tuu wamekuwa adimu, wengi wanakunywa maji saaana!!!!
Niletee hiyo mbege hebu, pakia kwenye raha Leo swahiba..
Aiseeee!!mnafanana na dada zenu
Unajua swahiba humu kuna majukwaa ambayo ban ni kugusa tu, na kama una bahati unapewa onyo!!Nani huyo alikuonya tena swahiba!!!
Tabia ya kujiteka sio nzuri.. Uwe unaniaga basi