Wanawake kupenda wanaume weusi, wanaume weupe kosa letu nini?

Me toka nilijue hilo nipo bize natafuta hela,

Wanasema UTAPOTEZA MUDA MWINGI SANA UKIJARIBU KUMUELEWA MWANAMKE, YAELEWE MAFANIKIO WANAWAKE WATAKUELEWA WENYEWE
 
wanawake huwa wanasema white men wanatoaga viharufu fulani, mfano hata Jacquiline wolper japo ni wa kike
Usiamini mwanamke...
Hata ukiwa na ngeu anaeza kukubali hivyohivyo.

Hawanaga choice. Ni kujiamini kwako tu.
 
halafu ikawaje baada ya kura??
 
Mnalinga sana niggha
Niko na mabro zangu mifano tosha
Wanaznguag san maan tayar boi anajua demu anashoboka kisa rangi
So wanaona bora siye kata nyege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…