Wanawake kupenda wanaume weusi, wanaume weupe kosa letu nini?

Si kweli wanawake wanapenda wanaume weupe sana fanya uchunguzi upya
 
Wala haiko ivo,narudia tena haipo ivo.Hayo ni maneno tu ya mitandaoni.Ukija huku mtaani maisha ni marahisi tu!hakuna cha weusi,urefu n.k
 
Sijawahi kujua kwanini wadada wengi wanasema wanapenda wanaume weusi, wanaume weupe tuna nini?

Naomba kujuzwa nini wanacho wanaume weusi weupe hatuna.
kila mtu na chaguo lake,, itx my self napenda mwanaume mweupe,, daar ,, yaan tena awe mwembamba na mrefu,,, uwiiiiiiiii nikimuona tu ,, huwa nachanganyikiwa hatari
 
unajua nimecheka tu mwenyewe kuona wanaume wanatafuta kupendwa

nawapa siri, tafuteni hela maana sidhani ukiwa na hela watakumbuka kuangalia kama ni mweupe ama mweusi

BTW mwanaume lazima ujiamini usitafute kupendwa

teh teh
Wewe je unapenda mwanaume yupi kipato ni ziada hakihusiani na upendo
 
hahaha nimekipa hadhi kidogo maana "kibamia" its too cheap.
hahahahahah mkuu tafadhali mbavu zangu
hivi hii mambo ya kufananisha mambo mazuri hizi na vibamia yalitoka wapi?
watu waache kabisa hiyo kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…