Wanawake kupenda wanaume weusi, wanaume weupe kosa letu nini?

Wanawake kupenda wanaume weusi, wanaume weupe kosa letu nini?

Nyodo zao tu,ukishakuwa na mahela ya kutosha huwa hawaangalii rangi.Kuna dada mmoja nilikuwa ninafanya naye kazi alikuwa anachukuliwa ovyo ovyo na wanaume pale na wengi wao walikuwa ni weusi basi aliropokwa siku moja "yaani unajua mimi mwenzenu sijui kwanini sina mzuka kabisa na wanaume weupe,sijawahi kupenda na wala sitawapenda"juzi juzi namuona kapost picha Facebook na mwanaume white wamekumbatiana kaandika my one and only,nikajua kumbe zilikuwa geresha tu..
Hahahah! Kasahau maneno yake mwenyewe.
 
Duuh! Na sisi maji ya kunde ndiyo tumeula wa chuya kweli
 
Mtuache sie weupe. Nyie mumewekewa karolite. Mkapake.

39d9e9471609799a54e6b7075cbf7741.jpg

913c4d065b39e61c2150334a5210abd5.jpg
 
Back
Top Bottom