Wanawake kuua ndoto za Vijana wengi

Wanawake kuua ndoto za Vijana wengi

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Unaweza kuwa na ndoto zako, greatest ones, ukazipangilia lakini mwanamke akakufanya usizifikie hizo ndoto. Bro! Kama haupo sahihi na mwanamke unayetaka kumuoa, acha, usioe.

Kuwa alone kama mimi, piga zako Puchu maisha yasonge. Mwanamke ndiye mtu anayeongoza kuua ndoto za watu hapa duniani wakifuatiwa na wazazi wako. Una mwanamke ama wazazi wanasapoti ndoto zako, basi mshukuru Mungu.
 
Huenda Adam angesamehewa na muumba wake ( mwenyezi Mungu) kama angekubali makosa yake bila kusingizia mwanamke, maana aliuzwa " Adam kwanini unajificha". Alijibu " Nipo uchi baba".

Akaulizwa Tena " Ni nani amekuambia Yu uchi".

Kosa lake ni kujibu " ni huyu mwanamke uliyeniletea".

Akapewa adhabu Kali ambayo tunaishi nayo mpaka Sasa.

FUNZO: tuishi nao kwa akili, tumepewa

Uwezo wa kuwaongoza kama kosa linaanzia kwetu sisi.
 
Mkuu uko sahihi kwa kadri ya mtizamo wangu. Na hapa nadhani haumaanishi mambo ya girlfriend au videmu, hapa unamaanisha mwezi au mke ambaye mna lengo moja la kuishi na kutafuta riziki kama familia.

Najua vijana wengi ambao hawajaingia kwenye episode ya ndoa inaweza kuwa ngumu kukuelewa
 
Nyie mnavyowapea watoto wa watu mimba na kuwaacha kwenye mataa huwa hamuui ndoto zao?

Tit 4 tat
Ila hii ina utata sana wengi siku hizi wanabambikiwa ndio maana wakatoka nduki kwanza.
 
Unaweza kuwa na ndoto zako, greatest ones, ukazipangilia lakini mwanamke akakufanya usizifikie hizo ndoto. Bro! Kama haupo sahihi na mwanamke unayetaka kumuoa, acha, usioe.

Kuwa alone kama mimi, piga zako Puchu maisha yasonge. Mwanamke ndiye mtu anayeongoza kuua ndoto za watu hapa duniani wakifuatiwa na wazazi wako. Una mwanamke ama wazazi wanasapoti ndoto zako, basi mshukuru Mungu.
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Ni kweli kabisa na sisi wanaume tunakosea sana kwenye kukimbia mimba.

Ila kuna sababu nyingi zinafanya kukimbia mimba.
Nyie mnavyowapea watoto wa watu mimba na kuwaacha kwenye mataa huwa hamuui ndoto zao?

Tit 4 tat
 
Back
Top Bottom