Wanawake kuua ndoto za Vijana wengi

Usipende mwanamke wacha yeye akupende over
 
Ningeshangaaa ipite siku hatujasemwa
Na bado mtasema sana
 
Tumepewa uwezo wa kuwaongoza ila siku hizi wao ndio wanatuongoza, wanataka pasu pasu kwenye kila jambo bado wamekuwa ndio wenye kauli kuliko wanaume
 
Lakini puchu pia inaua utu wako na uanaume wako wa Ndani.
Zipo nguvu zinazomfanya mtu kuwa mwanaume zinakufa kwa puchu
Hakuna uthibitisho wa kisayansi kuwa puchu ni hatari kiafya... ๐Ÿ˜‚

Tena puchu ukiipakia mkongo ni tamu balaa. Watu wengi sana mitaani wanapiga puchu
 
Yeah... Though hata Girlfriend au Videmu pia wanakutoa kwenye Ndoto pia... Kina mike Tyson walipoteza ndoto baada ya kuanza mahusiano na wanawake... Matajiri wengi na watu maarufu wametoka kwenye ndoto zao baada ya kuwa na wanawake.... Omba upewe mwanamke mwenye hekima. Ukikutana na mwanamke mwenye hekima ndoto zako zitazidi kuwa kubwa ila ukikutana na hawa tunaowajua lazima upotee
 
Hakuna uthibitisho wa kisayansi kuwa puchu ni hatari kiafya... ๐Ÿ˜‚

Tena puchu ukiipakia mkongo ni tamu balaa. Watu wengi sana mitaani wanapiga puchu
Ina madhara kiroho na kisayansi pia.
Uume unalegea, huwezi pata msisimko wa asili ukikutana na mwanamke.
Huwezi kuwa jasiri,hizi ni chache
 
Nyie mnavyowapea watoto wa watu mimba na kuwaacha kwenye mataa huwa hamuui ndoto zao?

Tit 4 tat
Hizo ni Ndoto au Njozi.... Mwenye uwezo wa ku-control kutokupata ujauzito ni mwanamke... Uwezi kupewa mimba kiboya kama unajua kabisa nini cha kufanya kukwepa mimba... Wengine wenu mnaenda kuzaa na wanaume za watu eti kwa sababu wanapesa, unajua kabisa ana mke wake na wewe unajiweka hapo.... Wengine mnategesha mimba wenyewe bila makubaliano, ukipata mimba ndio unataka mwenzio umpe kazi.

Mwanamke wewe ndio mwenye uwezo wa ku-control lini ubebe mimba... Uwezi kumlaumu mwanaume unless awe amekubaka... Ukiona mwenzako hayuko tayari husibebe... Ukibeba akikisha mmekubaliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ