Wanawake kuweni makini

Wanawake kuweni makini

Aliyekwambia mwanaume ameumbwa kwa ajili ya mwanamke ni nani? mwanamke ndo kaumbwa kwa ajili ya mwanaume ndo maana ukishakubali kuolewa unamilikiwa na huyo mwanaume na wewe huna mamlaka ya kumumiliki mwanaume ndo maana anaweza kuwa na wake zaidi ya mmoja.........tatizo mkishadanganyana na kujazana ujinga na mambo ya usawa wa kijinsia mnaishia kuangukia pua kama hili linaloenda kumtokea huyu punguani mwenzenu.

uko sahihi kiongozi
 
Tunajenga tabia na kisha tabia zinatujenga na kutufikisha kusikofaa, tunapaswa kufahamu tamaa za kimwili au rasilimali fedha na nyinginezo hazina Ukomo. Madhila ya kuendekeza hizi tamaa za ajabu ajabu ni makubwa mno pengine yanaweza kudumaza ustawi na hata kuharibu mustakabali wa ndoa zetu. Tujifunze kuwa na ukomo katika tamaa zetu. Tukae tukijua kuwa mtu akiamua kukuweka ndani au kakubali kuwekwa ndani ana nia ya dhati ya maisha na ww tofauti na hawa honey seekers. Tujitahidi kujifunza na kuiishi falsafa ya uadilifu, tutaishi maisha bora na familia zetu zinakuwa ni chanzo cha furaha na tunu bora katika jamii.
 
Huenda jamaa aliyekua anapga ndiye aliyemtoa Bk hivyo jamaa Hana Budi kukubari kuwa alifanya mistake yakuowa mwanamke aliyetolewa bk
HayO ndiyo madhara yakuoa unvirgine
 
Aliyekwambia mwanaume ameumbwa kwa ajili ya mwanamke ni nani? mwanamke ndo kaumbwa kwa ajili ya mwanaume ndo maana ukishakubali kuolewa unamilikiwa na huyo mwanaume na wewe huna mamlaka ya kumumiliki mwanaume ndo maana anaweza kuwa na wake zaidi ya mmoja.........tatizo mkishadanganyana na kujazana ujinga na mambo ya usawa wa kijinsia mnaishia kuangukia pua kama hili linaloenda kumtokea huyu punguani mwenzenu.
mwanaume kaumbiwa wanawake wangapi ndipo atosheke!!!acheni kutafuta kichaka bana.

mimi ni mwanaume,nachepuka,lengo ni kwamba siku yakinifika niwe tayari kuyachukua.

mnakula mpaka watoto wa shule,mnaacha wake zenu ndani wanajiuguza mapenzi,wakichomoka tu mnawasindikiza na kadi nyekundu,sio fare.
 
Mkuu ndo asili ilivyo hivyo, kwa hiyo wa ni bora watahadhari mapema kabla hayajawafika.........maana litakayemfika hilo ni la kwake, jamii itabaki kumkodolea macho tu.
 
Wanawake wa ajabu sanaaa unamgharamikia vitu vingi mpka unaoa baqda ya mwez mmoja kuna mpuuzi anachat naye anamwita maenge huku hata wewe hujawahi mwita[emoji45]
 
Endapo kwa miaka yote miwili huyo mumewee hajawahiii fanya na mwanamke mwingine yeyote hata mara moja, basi na amwache mke
UPUUZI UPUUZWE. chepuka ya Mwanamke na ya Mwanaume kamwe hazifanani, Mwanamke akichepuka ,maana yake anachukua uchafu nje anauleta ndani, wakati mwanaume akichepuka ni anatoa uchafu ndani anapeleka nje.

Halafu pia bro mwanamke wako akigongwa nje maana yake ile ni "territory'" yako imevamiwa.. Himaya yako, Ngome yako, Image yako... imeharibiwa... sasa we utakubali kuwa defeated hivyo na ukabaini hilo limefanyika???

Naunga mkono uamuzi wa jamaa.. kiujasiri kabisa bila kurudi nyuma, bila kuyumbishwa, apige chini huyo mwanamke hata kama ni mzuri kila upande na hata kama ndoa ya kanisani na ya serikali zimeungana, wanawake wapo shazi tuu mtaani
 
wanawake wako makini sanaaa, huyo unayemwongelea aliteleza tu kidogoo

Na anavyokupigia simu si ajabu na wewe upo kwenye list yake ya atakaotembea nao baada ya msala kumalizika

anyway kila shwetani na mbuyu wakeee
huwa mnajipa uwezo msiokua nao hakuna cha umakini hapo ni suala la mda tu mambo huwa wazi, GIza na mwanga haviwezi kukaa pamoja.
 
Ni Mara kumi mwanamke ajaribu kuniua kuliko anisaliti.
Maan hadi unaenda panua mapaja kwa jamaa mwingine siyo bahati mbaya hiyo maana mwili wako wote umehusika kuanzia nywele za utosini na ukucha ule wa kidole cha mwisho. Hapo msamaha ni kusepa tu.
Kama huyo tena miaka miwili? Imagine miezi 24 mke wako anafunuliwa tu kama maganda ya pipi ..pumbavuu!!
.. .Bila kusahau kwamba anaweza akawa anapitishwa 'Kwa Mpalange' wakati wewe Ulikuwa Unamuheshimu kama Kito cha Thamani!
Mwanamke akiishafikia hatua ya Kumvulia na Kumkalia Uchi mwanaume mwingine wakati anajua kuwa jioni anarudi nyumbani kulala na Mumewe,.....huyo ni wa kumuacha tu aendelee na Kuchepuka kwake kwa Raha Zake...![emoji52]
 
Ni Mara kumi mwanamke ajaribu kuniua kuliko anisaliti.
Maan hadi unaenda panua mapaja kwa jamaa mwingine siyo bahati mbaya hiyo maana mwili wako wote umehusika kuanzia nywele za utosini na ukucha ule wa kidole cha mwisho. Hapo msamaha ni kusepa tu.
Kama huyo tena miaka miwili? Imagine miezi 24 mke wako anafunuliwa tu kama maganda ya pipi ..pumbavuu!!
Naunga mkono hoja
 
Nilikuwa sifahamu kwann wanaume tunapofumania au kupata elements zozote za usaliti basi hatutakiwi kirudi nyuma.

Jibu ni rahisi. Wanawake ni jamii ya binadamu ambayo inapenda kuishi kwa kukadiria au kupimia ila sio watu wa standard za uhalisia.

Unaweza kuwa mwanaume wa kiwango cha mume Bora na baba safi wa familia ila yeye akata kukukadiria ziada ya hapo yaani akataka zaidi ya kile unachofanya na usipompa ndipo atatoka nje kutafuta na ukisitisha kumpa kile anachopata kwako bado ataanza kilalamika kuwa anaonewa.

Tazama katika hicho kisa hapo, mwanamke ametoka nje ya ndoa so it means hakuwa anakubali kuridhika na anachopewa na mumewe akataka ziada.

Ukimsamehe kwenye swala kama hili atakukadilia uwezo wako wa kufanya maamuzi lakini pia kuwa hauna maisha nje yake. Hivyo basi kumsamehe ni kama kumwambia nimekubali kuwa mpumpavu kwako na kudharaulika nifanye utakavyo. Hapo Guarantee ni kuwa atarudia tena upuuzi wake kama kawa kwa namna nyingine sababu ameshakukadilia kuwa wewe kwake ni dhaifu na hauna pa kwenda.

Anyways, katika mahusiano, mwanaume anajukumu moja tu la kumpenda mkewe na hilo linaonekana kupitia kumjali, kumhudumia, kumtunza na kumlinda. Mwanamke ana jukumu moja kwa mume wake la kumheshimu na kutii maelekezo na miongozo yake hii atafanya kwa kumsikiliza mwanaume, kumshauri , kumtunzia Siri na aibu, kumhudumia mahitaji kama ya chakula, usafi na watoto, kutunza mali za mumewe ikiwepo fedha etc.ila muhimu kabisa ni kutomuweka mbele mwanaume mwingine yoyote nje ya mumewe , awe baba mkwe, mjomba, rafiki, kaka, binamu, hata mchungaji.

Sasa hapo ukienda kinyume na hizo principles imekula kwako ndio haya yanatokea.

Mwanamke akikucheat usirudiane nae..... Utakuja kujuta baadae
 
Back
Top Bottom