Wanawake kuweni na huruma msituaibishe jamani

bioto

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,261
Reaction score
2,097
Jana nilikuwa natoka zangu Dodoma kuja Arusha kwa kutumia usafiri wa basi la (...) Nilikaa siti ya dirishani, pembeni alikuwepo dada moja mrembo kweli. Muda wote alikuwa busy na simu yake masikioni akiwa na ear phone.

Nikawa navuta muda achoke kuchati au simu izime chaji nianze mchakato wa kujiprint kwake.

Kwa bahati mbaya nikapitiwa na kausingizi nikaota ndoto kabisa.

Nilikuja kushtuka yule dada akinitikisa kwa nguvu ili niamke huku akipiga kelele "kaka fungua dirisha bwana kwanini unatuumiza namna hii"

Kusema ukweli hali ya hewa ilikuwa mbaya sana ukizingatia A.C haikuwemo mle ndani. Watu wote waliokaa siti za jirani walikuwa wameziba pua zao kwa mikono huku baadhi wakijaribu kujizuia kutapika.

Nikajua kwa vyovyote vile nikajua kitu kiliniponyoka nilipokuwa nimelala maana tangu asubuhi tumbo lilikuwa limejaa gesi.

Nilifungua dirisha nikiwa nimefedheheka sana. Kila mtu kule ndani alikuwa anaongea lake huku baadhi ya masela wakibaki wanacheka tu.

Wanawake wengi walikuwa wakinisimanga utafikiri wao hawajambi..
 
[emoji16][emoji16] ulkua maharage asubhi tu
 
Reactions: a45
kinyampo ni afya kwa mwanaume fedhea ni kwa wanawake hasa Mabinti
ungemuuliza uyo binti kwa sauti dada tumbo linakuuma? mbona unanyampa ivyo tayari ushamuuzia kesi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna wengine ushuzi ni hatari sana utafikiri mnakula vitu vilivyooza.
 
Reactions: a45
Siku nyingine ukisikia gesi tumboni piga mil.100 za konyagi na mambo yatakuwa murua. Hii itaondoa fedheha kama hiyo uliyoipata. Vp uliweza kujiprint tena kwa huyo manzi?
 
Hahahaaaaaaa uuwiiiii kama nakuona ulivyofungua kioo cha dirisha kwa upole na unyonge mwingii hahahaa pole sana aisee....
 
Reactions: a45
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…