akikataa kwa mtindo huu wala usihangaike naye tena.Mwanamke wa hivyo ni yule uliemvamia kariakoo hivi.....
Ili usipate maswali ya kijinga usimwambie nimekupenda....
Wewe anzisha urafiki wa kawaida kwanza......
Lunch hivi,,,,mara mbili tatu......
Halafu usiseme nakupenda since kupenda si jambo dogo...
Sema nimevutiwa na wewe.......
Hapa pekundu pamenikumbusha msemo fulani wa kisheria kwamba unamuuliza mtu leading question unategemea nini? yaani you ask him a question that suggests an answer straight away!Nikimpenda na kumtokea mwanamke hana haja ya kuniuliza bali matendo yangu yatamwonyesha kama nampenda ama la. Kumwuuliza mtu eti ni kweli unanipenda it's ok lakini ni nani ataulizwa hilo swali then aseme No sikupendi? Midomo inawesasema kila kitu utakachopenda kukisikia lakini matendo ya mtu ndio muhimu kwenye kipimo cha kujua kama mtu anakupenda kwa dhati ama la