Wanawake: Kwa Nini Siku Hizi Hamtuombi Hela??

Wanawake: Kwa Nini Siku Hizi Hamtuombi Hela??

Tumechoka na maudhi pamoja na matangazo + malalamiko ya kila kukicha.

Ndipo tunatafuta zetu kwa jasho letu.
Usiamini hayo malalamiko, mwanaume hakosi hela ya kukupa ila hawezi kukuambia amekutengea sh ngapi. Ila angalia na mtu mwenyewe usije pigwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom