Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kuna wafukua topewe nawe sijui mgeni wawapi,,kwani kuna kushoto na kulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wafukua topewe nawe sijui mgeni wawapi,,kwani kuna kushoto na kulia
mbona topetope zinachumwa mtini uko kwenu mnafukua!!?Kuna wafukua tope
Hujawai kuikashifu Serikali humu naona mdogo mdogo unapelekwa kibra.Mbele tu
Eeh sasa dear unaenda kuchukua hela vicobani halafu unanunua mawigi ukishindwa kulipa unamtafuta mwanaume ndo alipe kweli ni haki hiyo.Nmenunua mawigi dear
Acha kukaza ubongo,mbona topetope zinachumwa mtini uko kwenu mnafukua!!?
Wengi sana.
Kuna pisi moja niliamua tu kukata mazoea nayo maana niliona inakoelekea ingeanza kuniomba hela.
KWanza ikanitegaaa, mara njoo home, mara hiv mara vile, nikachomoa.
Sikua hata na time.
Ikaona acha ijilipue, ikanipiga mzinga, nikasema sina hela ya kukupa.
Ikasema inaumwa, kwahiyo anataka kwenda hospital.
Nikasema we kufa tu tutakuja tuzike.
Ndio, sa nani atanilipia dia wangu, kweli nifungwe na nyie viumbe wetu pendwa mpo?Eeh sasa dear unaenda kuchukua hela vicobani halafu unanunua mawigi ukishindwa kulipa unamtafuta mwanaume ndo alipe kweli ni haki hiyo.
hujala afu ukala wewe sio bureAcha kukaza ubongo,
vicoba vimewaloga, hamuachi kupeleka hela hukoVicoba
Jifunike blanket lala, baridi kidogo tu ushaanza kuomba shadr at el munya.Acha kukaza ubongo,
Wanawake ni mikopo acha tu kaka, si unaona juzi tu tumekopa b400 😹vicoba vimewaloga, hamuachi kupeleka hela huko
kununulia vijoraenhee kwahiyo tunapeleka wapi?
🤣🤣hujala afu ukala wewe sio bure
sie wa mikoani hatuvai vijorakununulia vijora
Iwe safiiJifunike blanket lala, baridi kidogo tu ushaanza kuomba shadr at el munya.
Aah kama ni mimi nitaacha ufungwe tu mwanakulitafuta mwanakulipata dear......ukitoka tutaendelea tulipoishiaNdio, sa nani atanilipia dia wangu, kweli nifungwe na nyie viumbe wetu pendwa mpo?
mnavaa ninisie wa mikoani hatuvai vijora
We wasema tu, hauwezi.....Aah kama ni mimi nitaacha ufungwe tu mwanakulitafuta mwanakulipata dear......ukitoka tutaendelea tulipoishia
sema mnazitumia kwa mambo ya urembo na kununua nguo fasheni mpyakanisani na kiwasaidia wasio jiweza,,kutibia ndugu zetu mahospitali,,kutembelea mayatima,wajane na wagane,,na kujipatia mahitaji ya kila siku