Wanawake kwa sasa ni wengi usibake mtoto wa mtu

Wanawake kwa sasa ni wengi usibake mtoto wa mtu

Wengi sana.
Kuna pisi moja niliamua tu kukata mazoea nayo maana niliona inakoelekea ingeanza kuniomba hela.
KWanza ikanitegaaa, mara njoo home, mara hiv mara vile, nikachomoa.
Sikua hata na time.
Ikaona acha ijilipue, ikanipiga mzinga, nikasema sina hela ya kukupa.

Ikasema inaumwa, kwahiyo anataka kwenda hospital.
Nikasema we kufa tu tutakuja tuzike.
 
kanisani na kiwasaidia wasio jiweza,,kutibia ndugu zetu mahospitali,,kutembelea mayatima,wajane na wagane,,na kujipatia mahitaji ya kila siku
sema mnazitumia kwa mambo ya urembo na kununua nguo fasheni mpya
 
Back
Top Bottom