Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanasaidia nn mkuuMkuu ili uwe wa kwanza mbona rahisi sana tu,wee kwa siku kunywa maji mengi sana
Nikumbushe mkuu, makutano gani?!Mkuu jumanne leo ndio makutano ila nimetulia home hapa naangalia katuni
ndo vzuri ili akome sku nyngineMkuu me nitaegemea kwa rafiki yake
Wala hujamkomoa kwa hilo.Mkuu me nitaegemea kwa rafiki yake
[emoji23]Waambie watangulie bar na kila mmoja aagize wine yake alafu zima simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amwambie tu kwamba hajapendezewa na ujio wa huyo rafiki yake.Sasa mkuu nini kifanyike?