Wanawake kwanini mkiambiwa kuhusu hii tabia inatukera wanaume hamjirekebishi?

Wanawake kwanini mkiambiwa kuhusu hii tabia inatukera wanaume hamjirekebishi?

We nenda ukifika concentrate na huyo rafiki yake, uone kama siku nyingine atakuja na rafiki yake
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
mambo ya committee

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ha ha ha ha. duh!!! Wakaka mnakataa majukumu ya ukoo
 
Mkuu me nitaegemea kwa rafiki yake
Wala hujamkomoa kwa hilo.

Wengi wa hivi kwanza hata wivu huwa hawana kiasi kwamba hata ukisema unataka kwenda kumla rafiki yake ,kiroho safi atakukubalia cha muhimu ameshakulia pesa zako basi inatosha.
 
Sasa mkuu nini kifanyike?
 
Back
Top Bottom