Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wanawake chonde chonde tupunguzieni kesi na lawama, mko siriazi kweli?
Mke wa mtu analazimisha aje aangalie movie za karate na Judo ghetto kwangu hivi hii ni nini?
Maadili yameenda wapi heshima imeuzwa wapi.
Uchumi wa Dunia uyumbe na umakini pia wa kujiheshimu nao uyumbe.
Tafadhali tuyaepuke majaribu.
Heshima ni msingi wa ujirani mwema.
Wadiz a.k.a Baharia