Wanawake: Kweli mke wa mtu uniombe uje uangalie movie ghetto kwangu?

Wanawake: Kweli mke wa mtu uniombe uje uangalie movie ghetto kwangu?

mi mwenyewe wanasumbua sana,akikugongea fungua mlango afu mtie vibao ,au hujui wanawake ni mashetani wanatumiwa na maadui kila kukicha utashangaa jitu limeolewa lina hangaika na wengine wanini piga makofi hilo lisikuponze ufirwe au upigwe hela ya ugoni bule maana kuna mengine yana kula dili na bwana wake yanajileta kalibu ukiingilika tu linapangwa fumanizi unakamuliwa pesa za kutosha na kuliwa kisamvu afu hao wanasepa.kuwa makini na hawa viumbe ,ukiwa endekeza ni wapumbafu sana
 
Baharia hali kibudu anawinda elite prime licensed species for marine exploitations
 
Mkuu ulitarajia nini kupanga chumba kimoja uswahilini, komaa.....
 
Wanawake chonde chonde tupunguzieni kesi na lawama, mko siriazi kweli?

Mke wa mtu analazimisha aje aangalie movie za karate na Judo ghetto kwangu hivi hii ni nini?

Maadili yameenda wapi heshima imeuzwa wapi.

Uchumi wa Dunia uyumbe na umakini pia wa kujiheshimu nao uyumbe.

Tafadhali tuyaepuke majaribu.

Heshima ni msingi wa ujirani mwema.

Wadiz a.k.a Baharia
Alikuja ??
 
Nimeishi Mtoni mtongani, mazoea zoea yakijinga ndio hupelekea hayo.
Mimi mtu kuingia tuu chumbani kwangu hajawahi huo ujasiri wa kuomba kuangalia TV ataupata wapi?
Mkuu Ww uliweza kumaintain hilo wengine huwa linawshnda hili ila uswahilini kawaida tu mtu from no where huna mazoea nae anafanya hili
 
Mjini hapo mkuu, si ajabu akiingia tu mume nae anakuja na kijiji kufumania ili ulipishwe.
 
Kuna mke wa mtu ananitafuta ana nigongea mlango eti aje aangalie movie na mimi huku ghetto kwangu usiku huu, ameniboa halafu mshende umestuka ila nimejikaza kiume nimemkatalia. Haya Maisha majaribu
Vp Ana chura

Ova
 
Wanawake chonde chonde tupunguzieni kesi na lawama, mko siriazi kweli?

Mke wa mtu analazimisha aje aangalie movie za karate na Judo ghetto kwangu hivi hii ni nini?

Maadili yameenda wapi heshima imeuzwa wapi.

Uchumi wa Dunia uyumbe na umakini pia wa kujiheshimu nao uyumbe.

Tafadhali tuyaepuke majaribu.

Heshima ni msingi wa ujirani mwema.

Wadiz a.k.a Baharia
Usituchoshe.

Hii ni Chai.
 
Kuna mke wa mtu ananitafuta ana nigongea mlango eti aje aangalie movie na mimi huku ghetto kwangu usiku huu, ameniboa halafu mshende umestuka ila nimejikaza kiume nimemkatalia. Haya Maisha majaribu
Mpelekee moto huyo
 
Back
Top Bottom