Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kuna mke wa mtu ananitafuta ana nigongea mlango eti aje aangalie movie na mimi huku ghetto kwangu usiku huu, ameniboa halafu mshende umestuka ila nimejikaza kiume nimemkatalia. Haya Maisha majaribuLala usiku huu.
Mruhusu si kuangalia movie tu.Kuna mke wa mtu ananitafuta ana nigongea mlango eti aje aangalie movie na mimi huku ghetto kwangu usiku huu, ameniboa halafu mshende umestuka ila nimejikaza kiume nimemkatalia. Haya Maisha majaribu
Hizi movie main characters wanagusishq ndimi severally nyakati za ushindi sitamuacha asinizoee usikuMruhusu si kuangalia movie tu.
Mi mwepesi wa kuonesha mifano ntamla denda bure ntapata kesi kubwaNashauri: kwakuwa hutaki na Tv yako akija zima ketini muadithie iyo movie ila awahi kurudi kwa familia yake!!
Asante 😳😳😳
Kuwapa watoto simu noma sanaAfu junior ana muachis simu yake !!! Dah haya maishaaaa mazuriiiiiii...
View attachment 2633891
Ingia ndani mwachie aangalie akishikwa na hamu mpe fast service chap chap.
Weka katuni au movie za kutisha.Hizi movie main characters wanagusishq ndimi severally nyakati za ushindi sitamuacha asinizoee usiku
Chai tena ya rangiWanawake chonde chonde tupunguzieni kesi na lawama, mko siriazi kweli?
Mke wa mtu analazimisha aje aangalie movie za karate na Judo ghetto kwangu hivi hii ni nini?
Maadili yameenda wapi heshima imeuzwa wapi.
Uchumi wa Dunia uyumbe na umakini pia wa kujiheshimu nao uyumbe.
Tafadhali tuyaepuke majaribu.
Heshima ni msingi wa ujirani mwema.
Wadiz a.k.a Baharia
Threads za vijana waliobalehe juzi utazijua tu.Wanawake chonde chonde tupunguzieni kesi na lawama, mko siriazi kweli?
Mke wa mtu analazimisha aje aangalie movie za karate na Judo ghetto kwangu hivi hii ni nini?
Maadili yameenda wapi heshima imeuzwa wapi.
Uchumi wa Dunia uyumbe na umakini pia wa kujiheshimu nao uyumbe.
Tafadhali tuyaepuke majaribu.
Heshima ni msingi wa ujirani mwema.
Wadiz a.k.a Baharia
Usimpoteze mwenzako.Mkuu mwache aingie halafu mfukue matope
Ukiendelea na huu uzembe, kuna uwezekano mkubwa wa kutolewa kwenye umoja wa mabaharia nchini.Kuna mke wa mtu ananitafuta ana nigongea mlango eti aje aangalie movie na mimi huku ghetto kwangu usiku huu, ameniboa halafu mshende umestuka ila nimejikaza kiume nimemkatalia. Haya Maisha majaribu