Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

Ni kweli harufu mbaya inakera kwa kweli,
Kuna wengine pumzi zao hutoa harufu ya kukera sijui hua ni nini
yes hata yule harufu yake ilikua hvyo,,sababu huwa ni maradhi au ulaji mbovu na kutokunywa maji mengi
unakuta mdada mzuri msafi ila hajui ulaji wa kiafya anajaza sahani ya wali na nyama mwingiiii mnooo halfu akimaliza hapo anakunywa soda ya pepsi baridi....ULAJI MBOVU SANA
 
Embu leo wanawake semeni sisi wanaume tushaongea sana now tunaona mmejirekebisha.

Haya leo zamu yenu ni hali ipi ukiona kwa mtu wako au mchepuko wako au mwanaume ambaye umepanga kuzagamua naye siku hiyo mzuka wako unakata kabisa unakaza kutoa kufuli na ukitoa unasema huyu amalize aende zake.

Yaani zile sexdiser ambozo ulikuwa unazivuta picha kuwa atakuwa yupo hivi vile af unafika mnakuwa kwenye harakati af gafla mzuka wako unakata kabaisa.

Mfano hapa jf unakuwa na boy wako ila hamjawai onana siku mnaona ndio siku mlio panga kuzagamuana lakini ulivyo muona tu moto ukakata embu semeni leo tupo hapa wanaume tunawasikiliza.

Tuanze na amadala awakifwatiwa na

Depal
To yeye
miss eyes
Unique Flower
Cute Wife
wakimalizia na
Dream Queen

Wa mwisho atakuwa FaizaFoxy
Mbona me hujanitag, una ubaguzi eeh
 
Ahhahahah inaelekea unakwazika sana na hayo mambo
Mtu mchafu anatia kinyaa aiseee... halafu kuna tabia ni za kufundishwa nyumbani kwenu toka unakua sio kufundishwa na mwenza wako

Binti yangu ntamfundisha usafi wa kike zaidi

Vijana wangu zile basic level kama jeshini, oga takata, nyoa vuzi na kwapa at all times, mswaki muhimu na for as long as wapo nyumbani kwangu mazingira wanayolala ni lazima kuwa nadhifu at least by 75% of the time
 
Mtu mchafu anatia kinyaa aiseee... halafu kuna tabia ni za kufundishwa nyumbani kwenu toka unakua sio kufundishwa na mwenza wako
Ahhahah sasa ushampenda unabidi Umbadirishe unamuona konde wakat yupo na kajala alikuwa msafi now si unamuona kwahiyo mpenzi wako ni kiongoz mmoja mzuri sana
 
Back
Top Bottom