Wanawake....let's be kind to men!!

Wanawake....let's be kind to men!!

Nimekuja kupasha maarifa kidogo.
pengine nikarudi Temeke,niwaambie acheni wehu nyie, hem chukueni gamba lenu!
Ukweli kabisa mimi kuna vitu give or take, naona kabisa nilikuwa kama na hasira sana vile!
Kama nilikaza sana yani!
We bana weeee fresh tu kwanza na ye alikaza ,sa hiz sasa tunaulizana ila ilikuwaje ?
Tunacheka basi kila mtu anaendelea na chaka lake!
Uzuri we are still friends, gives us a lot of kujicheka although we both ok not to go back tulikokuwa!
Kuna vitu are best, vikibaki vilivyo!
I for one , i love the woman i am becoming and happy for him anavozidi kujipata.
👏🏾👏🏾👏🏾

Eti kila mtu anaendelea na chaka lake!🤣🤣 Na mlikutana wajeuri wawili, basi tabu tupu.

Eyyyyy...
Hapo kwenye personal growth hapo ndio penyewe sasa! 🙌🏾 👏🏾 Namuonea raha mhusika mkuu wa sasa hivi au ajae maana ndio atakaefaidi.🤓 Mwambie Mangi akupe soda kwa bili yangu!!
 
Dr love lizzy 🤣

Nimepitia thread nyingi za nyuma huko,nyingi zinahusu mapenzi,sawa Doc🤣
 
Dr love lizzy 🤣

Nimepitia thread nyingi za nyuma huko,nyingi zinahusu mapenzi,sawa Doc🤣
Sasa je!😁😁😁

Siunajua mahusiano (sio ya kimapenzi tu by the way) ndio kikorombwezo kikuu cha maisha...😌
 
Na nilivyo na hamu ya kukuona sasa 😁 mzuka kama wa kumuona rihanna mariah carey 😊
☺️🤣🤣🤣🤣

Sasa ongea na AI kabisa akuonyeshe ntakavyokua nafanania....sio ukiniona nakuja ulipokaa unikimbie, maana ntakukimbiza kama mwizi! 🏃🏾‍♀️ 😏
 
☺️🤣🤣🤣🤣

Sasa ongea na AI kabisa akuonyeshe ntakavyokua nafanania....sio ukiniona nakuja ulipokaa unikimbie, maana ntakukimbiza kama mwizi! 🏃🏾‍♀️ 😏
Na ukinionana na mm utakimbia yaani tutakimbiana uwanja ubaki mweupe 😄
 
Back
Top Bottom