Wanawake/Mabinti tuliowahi kutoka kimapenzi na wanaume wa kimasai tukutana hapa

aisee aisseeeeee!! kumbe nilikukosha eeee yaani bado unakumbuka hadi leo? saizi nipo Kigoma Tabora nilihama. Nitumie namba ya simu ili tuyajenge.
 
aaaaaahhhhaaaaahhh, wengi wameibuka kama wewe vile
 
Wewe unadhani kila aletaye kisa chake ni changudoa sio? Jaribu wengine
Duhhhh....[emoji45] [emoji45]
Hivi kumbe kuna sehemu nime kudhihaki kwa neno (changudoa) kama hilo...[emoji134] [emoji134]
Basi naomba unisamehe kwa kukukosea adabu kubwa kabisa aiseeee.....
 
I'm sorry Ushimen, nisamehe. Kuna mtu kanikera Pm. Nisamehe bure.
 
Back
Top Bottom