Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #121
Yani nakwambia kila mtu humu ni Mmasai.Nasoma koment zenu naona wote n wamasai.
Nimekurupuka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani nakwambia kila mtu humu ni Mmasai.Nasoma koment zenu naona wote n wamasai.
Nimekurupuka tu.
Tatizo wababe, wapunguze ubabe mahabani/penzini.kiukweli nimeshasikia huu ushuhuda kuwa wamasai ni watamu kwenye mapenzi
Nilikuwa na hangover ya kikotoo, ngoja nisome vizuri, Niko sober sasaHakuwa wetu, soma post yangu vizuri. Hivi kumbe wana JF wengi huwa wanajibu post bila kuelewa kumbe!
Sawa, lakini PM yangu umeiona...!!??[emoji30][emoji30]Wengi washajitokeza humu jamvini kama wewe, fuatilia. Isitoshe sina mpango wowote nawe tena.
Yani nakwambia kila mtu humu ni Mmasai.
Wewe unadhani kila aletaye kisa chake ni changudoa sio? Jaribu wengineSawa, lakini PM yangu umeiona...!!??[emoji30][emoji30]
Ilikuwa,rahaaa tupu, hivi hamsomi Uzi?
Ningeletajeletaje kwa mfano yani?Una Hoja ,lakini Umeileta Kidwanzi, Hongera Kwa Ku,,t Na Mmasai
Ningeletajeletaje kwa mfano yani?Una Hoja ,lakini Umeileta Kidwanzi, Hongera Kwa Ku,,t Na Mmasai
aaaaaahhhhaaaaahhh, wengi wameibuka kama wewe vileaisee aisseeeeee!! kumbe nilikukosha eeee yaani bado unakumbuka hadi leo? saizi nipo Kigoma Tabora nilihama. Nitumie namba ya simu ili tuyajenge.
Duhhhh....[emoji45] [emoji45]Wewe unadhani kila aletaye kisa chake ni changudoa sio? Jaribu wengine
I'm sorry Ushimen, nisamehe. Kuna mtu kanikera Pm. Nisamehe bure.Duhhhh....[emoji45] [emoji45]
Hivi kumbe kuna sehemu nime kudhihaki kwa neno (changudoa) kama hilo...[emoji134] [emoji134]
Basi naomba unisamehe kwa kukukosea adabu kubwa kabisa aiseeee.....